lirik lagu haitham kim - ukaniumiza
ukaniumiza lyrics
sitaki mulika mwizi tena iwe kama jana
hisia za mapenzi nilizama nikaachwa na maji ooh baby baby baby yoo
ayaa yaa yaa baby yoo
sijiwezi mwenzio ayaa yaa yaa mwenzio
mood ukija ukazikata ni kero
kesi ikifika basata ni sero
umeshanipa limbwata ni zero (kichwani zero kichwani zero)
warida waridadi ushanipa mi midadi
penzi ngurumo ya radi
panapo kosa basi ni judge
maana mlenda wake magadi
naogopa kutapa kama mfa maji
basi usije ukaniumiza (ukaniumiza)
ukaja nawe danganyika (danganyika)
basi usije ukaniumiza ahh (ukaniumiza)
ukaja nawe danganyika (danganyika)
una bidii nipe nyongeza
masupidi moto koleza
kwenye bed nabembelezwa mi yaya
yani wifi najiongeza
sifikirii kukupoteza
remote najibonyeza vibaya
kwako sisemi no
usemacho ni funzo mi kwako nafwata
nishajichimbia shimo
cha ajabu ni ngumu pumzi yangu ku kata
warida waridadi ushanipa mi midadi
penzi ngurumo ya radi
panapo kosa basi ni judge
maana mlenda wake magadi
naogopa kutapa kama mfa maji
basi usije ukaniumiza (ukaniumiza)
ukaja nawе danganyika (danganyika)
basi usije ukaniumiza ahh (ukaniumiza)
ukaja nawe danganyika (danganyika)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu блажь (blazh) - мёртвая стюардесса (dead stewardess)
- lirik lagu tears for fears - long, long, long time
- lirik lagu lione - conti - destruction show
- lirik lagu nükhet duru - ne yazık
- lirik lagu jon spirt - lucid
- lirik lagu alaca - bu son
- lirik lagu t.o.l.d. - hot wigga
- lirik lagu vương bảo nam - đò không em
- lirik lagu vin martin - amsterdam
- lirik lagu wolf (band) - shadowland