lirik lagu h_art the band - simple man (monday)
[intro]
uka haha hakuhe na nie
kairetu, kairetu ka mummy
kairetu ka daddy
(mmmmm)
kairetu ka mummy
kairetu ka daddy
[chorus]
i’m a simple man with a simple plan
lady, hold my hand and you will understand
what it means, to live in a simple world
what it means, what it means to love someone
[verse 1]
mwanzo najua mapenzi hayaliwi
mimi ni mwanaume nitajitahidi
hata choo nitaosha ikibidi
na itakuwa siri ya watu wawili
mi na wewe tu na jambo la pili
nitakupa akili, moyo na mwili
kwani wewe niwe unayestahili
kunyunyuziwa penzi langu kikamili (yeah)
na tatu ni sababu
tutatunza binti yetu ka dhahabu
akikosa lazima apewe adabu
ili mwishowe asituletee taabu
na sijahisi hivi tangu nizaliwe
nataka tujenge nyumba kama nne
kwani wewe ndio malkia milele
toka chini mizizi mpaka kilele (yeah)
unaonaje, unaonaje (ahahaha cedo) (yeah)
[chorus]
i’m a simple man with a simple plan
lady hold my hand and you will understand
what it means to live in a simple world
what it means, what it means to love someone
i’m a simple man with a simple plan
lady hold my hand and you will understand
what it means, to live in a simple world
what it means, what it means (yeah) to love someone
(yeah) (mmmmm)
kairetu ka mummy
kairetu ka daddy (yeah) (mmmmm)
kairetu ka mummy (yeah)
kairetu ka daddy (yeah)
[verse 2]
empress we ni queen si slave (aah)
ndio maana sitaki daily ukipikapika
na simaanishi macalorie
mtaani daily tu maicecream na mapizza
lakini leo ukinisurprise na kagitheri mchuzi
kesho kaugali mchicha ni mi ndio nitapikapika
empress naoverstand relationship ulitoka roho sanasana alikukunja
alikuvunja, na ndio maana hutaki mtu tofauti na wewe
roho yako kuichunga, unajichunga
lakini empress narequest kama hutaki kunipatia trust
then nipatie time na nitajitrust with time vitendo zangu zitaleta trust (ooh)
yaani empress naoverstand we ni single mama
uko na kaqueen, kamwana (ooh) (what it means)
usikuwe insecure nitawatreasure we na kamum nyote sawa
leo wewe nikikupeleka jioni java makahawa
kesho kamum anasmile nyamavilla juu ya mabouncing castle na maseesaw (ooh)
keshokutwa si sote tuko juu ya madigaga macicio (ooh)
tunaenda ocha kuona matha plus k~meet my people (ooh) (what it means)
empress, wa kuubonga watabonga (what it means)
lakini usimind, waonyeshe dental (what it means)
floss hutoa dimple (to love someone) (yeah)
[outro]
uka haha hakuhe na nie
kairetu, kairetu ka mummy
kairetu ka daddy (mmmmm)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu 吉田美奈子 (minako yoshida) - i wanna be your shadow
- lirik lagu aleksia - люто (luto)
- lirik lagu cuizinier - hello ladies
- lirik lagu yung schnooty - dippy dippy ii
- lirik lagu rayo & toby - silueta
- lirik lagu jjlee (rap) - in my feels for no reason
- lirik lagu lamona divine - todo lugar
- lirik lagu playerdgs - 4 - the feeling (prod.heydium)
- lirik lagu shiver & uchi-sensei - un brutto pezzo estivo
- lirik lagu pringle - bro what