
lirik lagu guardian angel - usipite
Loading...
usinipite mwokozi, unisikie
unapozuru wengine, naomba usinipite
yesu! yesu! naomba unisike
unapozuru wengine, usinipite
ukiita peace, nitapata, joh nitapata
ishi vile unataka, vile unataka
bila wewe nitasuffer, oh nitasuffer
mi taka ulipo, ndio mi nataka tuu kukaa
kiti chako cha rehema, nakitazama
magoti napiga pale, nisamehewe
nakutegemea kwa … mola w~nge, mola wanje
wanifariji duniani na mbinguni, ewe mola wanje, mola waje
nitapata maono ukiingilia kati, maisha yange, maisha yange
usinipite
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu sandro luiz - um brilho de magia
- lirik lagu surf rock is dead - solid ties
- lirik lagu kanyi mavi - #freestylefridays (15-05-2020)
- lirik lagu 8tch, hurdihmoore - gbona
- lirik lagu draganov - lonely days
- lirik lagu it'sjustvon - jiggy
- lirik lagu a-reece - free valumlom
- lirik lagu froid - best friend
- lirik lagu ali tomineek - smile for me
- lirik lagu azur rich - prophecy