lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu guardian angel - nadeka

Loading...

mungu w-ngu anapenda maskini na tajiri ana
penda penda ndio maana mi na deka
niko mikononi mwake

kila kitu kiko better
mungu w-ngu anapenda maskini na tajiri ana
penda penda ndio maana mi na deka
niko mikononi mwake
kila kitu kiko better

ibilisi ananyeta
kuna watu wakicheki unabarikiwa sana wanateta
an-z-di kuleta mvua ya baraka na ma better
in-z-di kunyesha
ibilisi ananyeta
kuna watu wakicheki unabarikiwa sana wanateta
an-z-di kuleta mvua ya baraka na ma better
in-z-di kunyesha

asifuye mvua imemnyea
namsifu ju amenitendea,
maajabu, maajabu
ata wewe ukimkujia
najua atakutendea
maajabu, maajabu

kuna wenye dhambi, wengine takatifu
jua likiwaka linawawakia wote
wengine janjajanja
wengine waaminifu
mvua ikinyesha inawanyeshea wote
kuna wenye dhambi, wengine takatifu
jua likiwaka linawawakia wote
wengine janjajanja
wengine waaminifu
mvua ikinyesha inawanyeshea wote

mungu w-ngu anapenda maskini na tajiri ana
penda penda ndio maana mi na deka
niko mikononi mwake
kila kitu kiko better
mungu w-ngu anapenda maskini na tajiri ana
penda penda ndio maana mi na deka
niko mikononi mwake
kila kitu kiko better

mungu w-ngu anapenda penda penda
na sa ndio maana minadeka deka deka
mungu w-ngu anapenda deka
penda deka
anani penda nadeka
mungu w-ngu anapenda penda penda
na sa ndio maana minadeka deka deka
mungu w-ngu anapenda deka
penda deka
anani penda nadeka

nikimwita anacome through
ndo maana namsifu
maombi anajibu
yeiiy

kuna wenye dhambi, wengine takatifu
jua likiwaka linawawakia wote
wengine janjajanja
wengine waaminifu
mvua ikinyesha inawanyeshea wote
kuna wenye dhambi, wengine takatifu
jua likiwaka linawawakia wote
wengine janjajanja
wengine waaminifu
mvua ikinyesha inawanyeshea wote

mungu w-ngu anapenda maskini na tajiri ana
penda penda ndio maana mi na deka
niko mikononi mwake
kila kitu kiko better
mungu w-ngu anapenda maskini na tajiri ana
penda penda ndio maana mi na deka
niko mikononi mwake
kila kitu kiko better

mungu w-ngu anapenda maskini na tajiri ana
penda penda ndio maana mi na deka
niko mikononi mwake
kila kitu kiko better
mungu w-ngu anapenda maskini na tajiri ana
penda penda ndio maana mi na deka
niko mikononi mwake
kila kitu kiko better

end.

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...