lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu gq blckmzrt - power

Loading...

gq on another one
yo~yo
yeah (let’s get it)
aah

like all day
kila ngoma ni konde
kama ngozi imewambwa mbezi makonde
gang gang
me sina gang nina genge
habari za huu mchezo me ndo maulidi kitenge
nawasha moto kama mbio za mwenge
na niki~pull up na ma~mamba cheki mbio za kenge
me taratibu nasogea nyie piteni denge
ila tukikutana angalizo zishikeni kende
mana kwanza nina hasira
pili niko mbali
tatu sijamuona wakunizidi ki~mistari
nne mna bars za vinywaji vikali
ila tano namiliki hotel ya mangoma makali
mambo ya bars nawaachie nyinyi ma~bar maid
karibu jikoni babalishe i was born ready
ulizaliwa mziki akazaliwa fredy
so nkishusha mziki huwa ni moshi ka navuta fegi
tatizo lenu rappers mpo too predictable
mnaotea otea vimistari alafu mnavimba noma (aah)
vaеni barakoa sizuiliki
muathirika mwenye vibe bado nipo naisambaza homa (aah)
mapafu ya mawack yana shida
kila wakivuta hеwa wanachomeka kama nyama choma (aah)
vipimo vinasema siko sawa
yanini nife peke yangu nyie niacheni tuu nsambaze ngoma
all day
nashika wave hata bila promo
vile naenjoy nikichana ka’ nafanya ngono
me ndo yule kid nnae
chukiwa na marapper wasiojua kuchana wash’kuru radio zinavyowapa promo
tukikutana kwenye ngoma wanafuta verse
kama historia kwenye browser ya mpenda p~rno
nlishawaambia kuwa
clean kama mimi mnahitaji supu ya dodoki maji mengi na sabuni ya h0m~
afu pia mkapate somo
hii league sio normal
huku haziongei tweet
huku unongea mdomo
chana mistari watu wajue acha lomoni
rich mavocal waambie rappers wani~follow me
captain komba nikitimba hawakoromi
mgosi wa kaya natawala ile kikoloni
john cena misuli vina
wakivimba najifanya ka misuli sina
nawatazama afu nacheka
nikianza kuvimba si mtasema nna tunguli za kishirikina (enhee)
see the difference (aah) tumia akili
ila kama una~bounce but uhh tumia mwili
mwana akikwama usimchunie
mtumie tili
nataka kuwa kama mo
ntumieni siri
mana siri ya mtungi ni ngata
me nina mambo zangu sina mambo za micasa~sucasa
fundi selemara bado nasambaza vitasa
kuvichaka hii ni amri nipasie kinasa
mana ma~flow ni ya kisasa sasa
wapeni karatasi waanze chana sasa
hapa cheka hapa kiduku ndo navimba sasa
usijitusu kwa kamanda tai mambo sasa
nawachezesha sasa
afu nawapiga msasa
me nipom kwa game toka enzi za kina betty mkwasa
toka muumini mgumba kazaa k~mbe mwanaume tasa
badi bakule ndanda kosovo na chuchu sound
ndo maana mnasound kama nimewashika chuchu sasa
niwaambie kitu sasa
huu ndo muda w~ngu sasa
i am out


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...