lirik lagu goodluck gozbert - wastahili sifa
nasi tunainua sauti zetu kukusifu iushie milele
hallelujah
umeumba jambo jipya la sifa
umeumba jambo jipya la sifa
bwana u mkuu mwenye kusifiwa sana
bwana u mkuu, mwenye kusifiwa sana
tunakuabudu yesu
(yesu)
wastahili sifa, za moyo w~ngu
wastahili sifa, za moyo w~ngu
(bwana yesu u mkuu)
bwana u mkuu,
(hakuna tena mwingine kama wewe)
mwenye kusifiwa sana,
(wewe uishiye juu na kutamalaki milele)
wewe u mkuu mwenye kusifiwa sana,
(wewe ni mungu mkuu)
mwenye kusifiwa sana
(tunakupenda wastahili sifa peke yako)
tunakuabudu yesu
(tunakuabudu yesu)
(wastahili)
wastahili sifa (za moyo) za moyo w~ngu
(wastahili)
wastahili (wasta., wasta., wasta…,)
sifa za moyo w~ngu
(wastahili)
wastahili (eeh bwana, bwana, bwana)
sifa za moyo (hallelujah) w~ngu
(bwana, ooh ooh ooooh)
wastahili sifa (bwana) za moyo w~ngu
falme na tawala zote za dunia,
zinajua hakukuwepo na kamwe,
hakutakuwepo mwenye mamlaka,
wa kuzidisha mbingu na nchi,
isipokuwa wewe mtakatifu,
eeh bwana wa majeshi,
mungu utawalae na k~miliki daima,
nasi tun~z~inua na kupaza sauti zetu juu sana…
tukilitukuza jina lako eeh mwamba wa kale,
asante tena na tena eeh bwana wa majeshi…
sifa na utukufu vikurudie wewe peke yako…
ooh asante asante asante…
bwana u mkuu mwenye kusifiwa sana
(hapana tena mungu kama wewe)
bwana u mkuu (eeh eh) mwenye kusifiwa sana
(god, uuh uh)
tunakuabudu (yesu, yesu) yesu
wastahili (tumekuja kukuadhimisha bwana)
sifa, za moyo (eeh eh) w~ngu
(uuh, yeah, yeah)
wastahili (eeh, eh bwana, bwana, bwana)
sifa za (eeh, eh) moyo w~ngu
(ooh, oh bwana)
wastahili (tunaliinua jina lako takatifu) sifa
(asante mungu), za moyo w~ngu
(asante kwa sababu peke yako unastahili sifa)
(ooh, ooh, ooh)
wastahili (lord yes, yes, yes, ooh asante)
za moyo w~ngu (ooh asante)
wastahili (yes lord, oh oh) sifa
za moyo (ooh, ooh) w~ngu
wastahili
(asante mfalme wa amani, asante jehovah, asante mungu mkuu)
(fadhili zako ni za milele, wewe ni mungu uliye kweli)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu lost frequencies - sick of the silence
- lirik lagu chris thomaz - astronaut statuz
- lirik lagu lil peej - for you
- lirik lagu amthakid, akited, mex.jr - west
- lirik lagu eric jefe - follow the leader
- lirik lagu mart'nália - que pena, que pena
- lirik lagu captaine roshi - fadeaway
- lirik lagu hikk light - iron man
- lirik lagu ollie - dead roses
- lirik lagu amarieyo - sticks on key