lirik lagu golden tz - siwezi
hii hii
mmmmm hiii
nah na nana na aah
mmmh
nimekupa nafasi kubwa kwenye maisha yangu
uhai w~ngu unao wewe
leo penzi unalitupa mi akili yanguu
haiwezi kwenda bila wewe
mpaka natamani muda ungehesabu kwa kwenda nyuma
huenda ningepata nafasi ya kuwa na wewe
j~po najikaza ila roho yangu inaniumaa
kuliko nikuachee ni bora nife nijue kimojaa
ohooooo ohooooo ohooooo ohoooo
nafasi si yako bebiii
ohoooo hohooo ohoooo hooo
pengo lako mammy
ohooo hoooo hooo hooo
nafasi yako bebii
ohoooo hooo hoo
hakuna anaeweza kuzibaa
siwezi
siwezi (siwezi)
siwezi
mi siwezi (siwezi)
mi siwezi (siwezii)
(siwezi)
kukuacha uende siwezi siwezi
wapo wanaonipa moyo utarudi
ila kwa maneno yako
siwezi kuamini kama utarudi
hata chakula hakipandi
hata story hazigangi
nimekuwa bubu mi nimekuwa zuzu
mwenzako dumele mfa maji
sura imejaa ukakasi ni vilio tuu
msiba wote w~nguu
ohooooo ohooooo ohooooo ohoooo
nafasi yako
ohoooo hohooo ohoooo hooo
pengo lako mamiii
ohohhooo ohooo hoooo
hakuna anaeweza kuzibaa kuizibaa
ohoo
siwezi (siwezi)
siwezi (siwezi)
siwezi
mi siwezi
siwezi
mi siwezi
siwezi siwezi siwezii
siwezi
i wanna dedicae this song
the words, tunes belongs to you
so when you hear this melody begins
you will know what im feeling
inside my heart
i’m wishing you well
may god protects you
golden
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu bizarrap & l-gante - l-gante: bzrp music sessions, vol. 38
- lirik lagu jahmed - dirty, ho
- lirik lagu tedy - twisted (i hate myself)
- lirik lagu tre små kinesere - nummeret før noah
- lirik lagu spaceguitar - microbiocyborg (feat. davit drambyan)
- lirik lagu now united - turn it up
- lirik lagu raissa - constellations
- lirik lagu kippp - link
- lirik lagu akkkuthegreatest - 11 секунд славы (11 seconds of fame)
- lirik lagu lim3s l3mons - goodbye (bonus track)