lirik lagu golden tz - lonely
yoo yooo yooo
you knew me from the start
unanijua toka mwanzo
tena unajuaa
kwako bwege hamnazo
tena namtambua
huyo mwehu aliyeuteka moyo wako.
na ataniua
astaghfirullah
mahaba yenu pambe moto
baby lonely
mwenzako niko lonely
mama mwenzako lonely
mwenzako lonely
baby lonely
mwenzako nakufa lonley
mwenzako niko lonely
baby lonely
tena inshallah
panapo majaliwa
na harusini nitakuja
kuja kuja kuja
na ntaleta zawadi
mimi mwenzako moyo safi
kuachana si uadui
j~po inaniuma sitambui
tena namtambua
huyo mwehu
aliyeuteka moyo wako.
na ataniua
astaghfirullah
mahaba yenu pambe moto
baby lonely
mwenzako niko lonely
mama mwenzako lonely
mwenzako lonely
baby lonely
mwenzako nakufa lonely
mwenzako niko lonely
baby lonely
tena inshallah
panapo majaliwa
na harusini nitakuja
kuja kuja kuja
na ntaleta zawadi
mimi mwenzako moyo safi
kuachana si uadui
j~po inaniuma sitambui
j~po penzii
penzi la makolo kolo
nimekuwa ka kolo kolo
umeniacha mimi
solo solo
nimechacha
kiporo poro
penzi la makolo kolo
nimekuwa ka kolo kolo
umeniacha mimi solo solo
nimechacha kiporo poro
kolo kolo kolo kolo kolo
solo solo solo solo solo
kolo kolo kolo kolo kolo
solo solo solo solo
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu utrecht (jpn) - god speed
- lirik lagu giovanni - я один (i'm alone)
- lirik lagu cherise (r&b) - calling
- lirik lagu mirod - 666 666 666
- lirik lagu ramos mc - ela pede dior
- lirik lagu rusina - millie
- lirik lagu onyx colony - forest of the beast (original)
- lirik lagu valeria canavati - última v :’(
- lirik lagu alex velea - dragoste la prima vedere
- lirik lagu ol' kainry - parabellum