lirik lagu gnako - komando
mhh…
yeah.!
waaraaa…h!
leo lion simba na zombi wa mazombi
we zombie.. !
leo lion simba na zombi wa mazombi
haujui..!?
leo lion simba na zombi wa mazombi
we zombie
leo lion simba na..!
na simba la masimba dangote
omalicha, omalicha..!
wowowo feki unatingisha
unaona sifa, tu misifa
we endelea kuzigida utazilipa
we jifanye born hapa
mzaliwa
na chako tukikitaka
kinaliwa
wana……
maziwa
j~po fululu mi matter
unalia
kwanza poleni, poleni
nawapa wote poleni
nawatakia poleni
nawasalia poleni
ee, mlioachwa
poleni
mnaodai
poleni
msio na baby
poleni
mkakojoe
kalaleni
komando, komando
waambie sisi ndio vipensi komando
waambie sisi ndio vipensi komando
kanfuma na katoto katanga
kamfuma kametoka na kanga ghetto
ehh..
kanfuma na katoto katanga
kamfuma kametoka na kanga ghetto
abah tiee..!
abah wenah..!
oh my queen
nipe tena
apa chini
shuka tena
ona nini.?
unahema.!
mchepuko leo nae kasalitiwa
mke wa mtu sumu kuna maziwa
maziwa na kutaitiwa
tiwa savage
umealikwa, umealikwa
we njoo na mpunga patakalika
mashimo yote kanapita
twende milima na mabonde panapitika
kwanza poleni, poleni
nawapa wote poleni
nawatakia poleni
nawasalia poleni
ee, mlioachwa
poleni
mnaodai
poleni
msio na baby
poleni
mkakojoe
kalaleni
komando, komando
waambie sisi ndio vipensi komando
waambie sisi ndio vipensi komando
kanfuma na katoto katanga
kamfuma kametoka na kanga ghetto
ehh..
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu しとお (xitoo) - キヅクナ (stay unaware)
- lirik lagu sm rivers - плохая зажигалка
- lirik lagu otf boonie moe, rob49 & only the family - nobody's safe
- lirik lagu avenuepluggg - схемы
- lirik lagu elín hall - þegar óttinn deyr
- lirik lagu lake malice - power game
- lirik lagu dj matrix - porsche
- lirik lagu grewsum - the underground
- lirik lagu khesari lal yadav feat. karishma kakkar - chal ganga kinare
- lirik lagu nnoc - wir halten dicht