lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ghafla - tza

Loading...

bridge
left my fear by the side of the road
hear you speak
won’t let go
fall to my knees as i lift my hands to pray
got every reason to be here again
father’s heart that pulls me in
and all my eyes want to see is a glimpse of you
all i need is you
all i need is you lord
is you lord

verse (ghafla)
salam popote ulipo nakunja roho nakuja
furaha yako iko wapi uko mbali je patakucha?
sina mkwanja ujue manuva
nachukua uda sio uber
foleni ila nakuja
mboga saba hazikuwepo harufu ya kuku tuliinusa
naona picha tu na like
unaona zangu una comment
unaniuliza nipo fine?
n~z~tazama nahisi kufa
matatizo yanayoniandama ni kama yote naona mzuka
navaa koti naenda chuga
sina noti naenda vunga
usinifananishe na hao marapper wa mistari ya kuunga
futa machozi ipo karibu bahati nasibu haipo hivyo
ukicheza usijutie rohoni usiweke matatizo
ngoja nikusimulie kaigizo
ka demu flani enzi hizo
kaja ghetto ile k~mshika si akasema sitaki hizo
akasema shindwa na ulegee
nikasema haiwezekani,nilipozidi tu k~mshika uvumilivu si ukamshinda ye ndo akashindwa akalegea
potezea,nilitaka tu ufurahi
furaha yako mali kw~ngu hivyo napenda uki smile
tulipendwa na mitaa tangu mama ametuzaa
tangu suti zile bw~nga hadi leo zinatukaa
nguo walizochoka ndugu tuliziomba tukavaa
kwa masimango
unataka lia?basi tuache hiyo mifano
huk~mbuki ulikimbia sindano kaloleni chanjo ya polio ulilia huitaki nayo
miwani mida yote pia ni handsome ka bayo
van dame kwenye kuta kwenye daftari yupo rambo
kingwendu tsh dala tulizigongea hizo kwa bambo
chukua chochote mi nitalipa
rudisha afya yako unapendeza ukiwa kipipa
afya yako imezorota huoni mashavu yameondoka
punguza stress unanipa woga na kiburi cha kuvimba
agiza bia piga piza
nitakuja na champagne na kuna wine nimeiagiza nayo inatoka south africa
nguo za muzik tanzania store
vitu mma asante kwa support yako bro
bidhaa za mitaa kabisa
uhamiaji wanipe visa maana nina show kama tisa nina uhakika zote zitalipa
makombora tuliyoyapaki nayo yana tani za kivita
za kuua kila chuki kuongeza faraja ya maisha
usisahau muda wa kula mapishi ya upendo tuliyapika
mshtue stanny na nuny mapenzi yangu wataipiga
bila back play tuna run unajua why
licha ya mziki kuufanya tunahakikisha una maslahi
tupo kwenye chart now
mitaa na watu mioyoni mwao tunafurahi
muzik tanzania imekuwa chama imekuwa chata imekuwa chapa
hivyo ghafla sio tu mc huyu ni rapper huyu ni rasta
chuichui kwenye kila bar
kila bars ni takila aaah
nimekuwa aljazeera mtaa
pasi naisusa natembelea chaki,natembea na shakila baada ya wiki mbili shakila nae anakuwa star
bado ni mpya a
zinafinyiwa figisu dar
maana arusha nyumbani block za udongo zinageuka glass
hivyo napata heshima sio kwa ganja bali mziki wa
kuhamasisha maisha na kuwainua waliokata tamaa
sasa popote utakaponiona tuchukue selfie
chuki hazijengi kwa uadui tumezika wengi turudishe urafiki ila ujinga sipendi
nipo stendi naitwa ghafla baby
(ghafla anaongea)

a city..tza
arusha,tanzania,afrika
zamani july,you feel this
tumebeba maisha ya watu wengi,ndoto nyingi
yaah..i’m ready
karibu,zamani july
all we need is you lord
asante
i really represent the projects,cheers…everybody #mtaa


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...