lirik lagu ghafla - mapema mno
chorus
tumezaliwa kwenye dhiki anajua mola tuliyoyapitia ni magumu usiombe
tumejikita kwenye mziki tuikwepe njaa maana tumbo kavu linauma usiombe
tumezungukwa na rafiki ndo wanaochoma tunacheka nao ila wanaomba tusitoke
napiga hatua na kila hatua naubeba mtaa mi na washindi tutatoka tusichoke
verse 1
mapema kusema ni ngumu kutoka ku~shine ni ngumu ku~win
huenda tunakwama ila niamini hatufeli haturudi chini
huenda mnapima mafanikio yetu mpaka tuvae madini
kama hamjui tumepoa mtaani tunafosi tunahesabu ushindi
cash zina flow kwa account
hesabu inaanzia shilingi
kabla hatuja hesabu laki kibubu kiliwekewa ishirini
kitu sitoi ni wakati siku hizi na shine una feel
huwezi amini ni classic navaa mtaa naishi
tuache story ilikuwa ni kwenye msoto na
tulipotoka ilikuwa ni block za udongo na
ukisema studio itabidi nyumbani walale njaa
hatujielezi si mnajua rangi halisi ya mkaa
so i pray,before the fame
lets get paid,lets n~gga shine
kabla sijafa sijaumbika siwezi kufuru jah
siwezi kukukosoa najivunia kuwa sehemu ya mtaa
chorus
tumezaliwa kwenye dhiki anajua mola tuliyoyapitia ni magumu usiombe
tumejikita kwenye mziki tuikwepe njaa maana tumbo kavu linauma usiombe
tumezungukwa na rafiki ndo wanaochoma tunacheka nao ila wanaomba tusitoke
napiga hatua na kila hatua naubeba mtaa mi na washindi tutatoka tusichoke
verse 2
hawakutupenda tukiwa hai tukiondoka mtaona
risala ndefu watatumiss na hawakuona mbona
hawakutu support tukiwa chini tukitoboa mtaona
watajifanya wanatujua waambulie ili followers
tuwaongezee viewers
sio upendo ni biashara ni budda
ni ishu ya muda
ni change location ni park buggati
tukiwa club leta bill nitamaliza
baada ya show andaa pipa andaa visa
hatuna mauzo sitaki video sitaki picha
na ukija ghetto mtoto mkali ni monalisa
kuishi raha mustarehe tulizidisha kukomaa
tuliamka alfajiri hatukupitisha kuomba
hatukuchoka kushukuru ametubariki unaona
tunapotoka hakuna upendo wanakunywa uji wa mgonjwa
jazia maji ilikuwa kauli leo k~maliza sidhani
ninachopata sili peke yangu naenda lia mtaani
chorus
tumezaliwa kwenye dhiki anajua mola tuliyoyapitia ni magumu usiombe
tumejikita kwenye mziki tuikwepe njaa maana tumbo kavu linauma usiombe
tumezungukwa na rafiki ndo wanaochoma tunacheka nao ila wanaomba tusitoke
napiga hatua na kila hatua naubeba mtaa mi na washindi tutatoka tusichoke
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu y-s (cmr) - state 2 state
- lirik lagu morad, beny jr & wise - 200
- lirik lagu elsa esnoult - tendrement je m'imagine
- lirik lagu donald grunge - texaco
- lirik lagu the last knife fighter - work week for ramblers
- lirik lagu the slums - dreamin' of the daze (live / 11-12-19')
- lirik lagu gdubbz215 - not a sad song
- lirik lagu kid lynxs - red light
- lirik lagu ballistik boyz from exile tribe - sum baby
- lirik lagu mirai - soma