lirik lagu gelax - wasi wasi
intro
wasi wasi sina / sina wasi wasi
bridge
msaada w-ngu uko juu
nimepata wokovu bila uchungu
ninalindwa na nguvu za mungu
nisifedheheke , nisiaibike
hata wewe ,usiogope ,usitayarike
alivyokuwa na yoshua , leon yuko nasi pia
chorus
sina wasi wasi niko naye
huyu mwokozi ,niko naye
sina wasi wasi niko naye
yesu yesu ni naye
sina wasi wasi niko naye
milele milele niko naye x2
siogopi chochote /niendako popote
verse
mwana ameniweka huru
nmekuwa huru kweli kweli
hakuna kitacho nidhuru
namtegemea yeye ndiyo heri
jina moja tu /lenye nguvu kuu
ndiyo mamlaka niliyopewa
ndani yangu hekalu la yesu
sitaki kuchezewa
lij-po jaribu siogopi
ujasiri ninao wakujua likowapi
sio gelax mwenye nguvu yakutenda
mwenye mzigo mwepesi ,nira laini huyo nampenda
maisha nimemkabidhi/ulinzi mahitaji yote anakidhi
ulinzi mahitaji yote ana kidhi
sina dhiki,yuiko na mimi milele sio jumapili kwenye week ,24/7
sitishwi/wakristo ndio umilikishi
siongozwi na macho /ninayo imani naongozwa na roho x2
nikimuita huja napata furaha jangwani
amenipa hoja natimiza kusudi hapa duniani
hofu na mashaka haviko na mimi ,imani , imani
ameandaa karamu ninao mwaliko nakwenda najiamini
chorus
sina wasi wasi niko naye
huyu mwokozi ,niko naye
sina wasi wasi niko naye
yesu yesu ni naye
sina wasi wasi niko naye
milele milele niko naye x2
siogopi chochote /niendako popote
bridge
msaada w-ngu uko juu
nimepata wokovu bila uchungu
ninalindwa na nguvu za mungu
nisifedheheke , nisiaibike
hata wewe ,usiogope ,usitayarike
alimchagua gidion sio kwa muonekano wa mwilini
verse
aliyeshinda ndiye kimbilio
toka kwenye nyumba ya utumwa
usiteseke kwa kisingizio
mambo haya yafaa kwa utauwa
mruhusu tuu….mruhusu tu
akuweke juu…akuweke juu
mwite yesu ,iwe mchana usiku
wewe nifariji ,nikutie moyo mbinguni twende zetu
duniani sio kwetu tu katika mwili wa kristo
kutimiza agizo,usiogope vitisho
wakristo, isaiah 61,1 peperusha bendera hewani
vita sio vyetu, ni vya bwana
kwanza ni vya roho sio vya damu na nyama
kutii ni imani
uzaa kikubwa kama punje ya haradani
mungu amenipa kibali
kimekuja kwa pendo ndio injili ya thamani
chorus
sina wasi wasi niko naye
huyu mwokozi ,niko naye
sina wasi wasi niko naye
yesu yesu ni naye
sina wasi wasi niko naye
milele milele niko naye x2
siogopi chochote /niendako popote
outro
wakristo
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu dj gruff - piano la
- lirik lagu toledo - capullo
- lirik lagu unkle adams - problems
- lirik lagu calenraps - #barsonly pt.12 (ten toes down challenge)
- lirik lagu joe million ft. matter - muhammad ali
- lirik lagu shack - happy ever after
- lirik lagu kill mauri - nuovi amici
- lirik lagu kei - jedini kog' znam (bonus)
- lirik lagu chief keef - dead and gone
- lirik lagu kidz bop kids - the greatest