lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu g ndezy - dance

Loading...

let’s dance
hakuna kulala
leo mpaka kuna kucha

let’s dance
twende kushoto kulia
inama kidogo and dance

achia ukuta njoo kati ucheze
huku ukitikisa lako weze
jiachie just get busy
uondoe stress

kamata kiuno kilicho legea
wanavyo twerk mpaka
kamatia kama vile chawa
and dance

kunywa pombe uongeze vaibu
jiachie usione aibu
sahau zile zako zote tabu
now relax dance upo ndani ya club

usinifokee hujaninulia bia
usinifokee kwani mi nimekubania
usinifokee tafuta wa k~mbambia
njoo tucheze tena kamia

let’s dance
hakuna kulala
leo mpaka kuna kucha
let’s dance
twende kushoto kulia
inama kidogo and dance

mr dj hii ngoma replay
kama vinywaji teyari tusha pay
ukitaka dem usiulize bei
just cheza utampata today

sahau shida zote cheza mpaka chini
hata kama umevalia kimini
onyesha uwezo viungo vyako laini
and cheza kwa makini

onyesha uno alilokupa mama
nyonga mpaka chini kwa sana

usinifokee hujaninulia bia
usinifokee kwani mi nimekubania
usinifokee tafuta wa k~mbambia
njoo tucheze tena kamia

let’s dance
hakuna kulala
leo mpaka kuna kucha
let’s dance
twende kushoto kulia
inama kidogo and dance

mashetani yashanipanda
leo mpaka mida ya w~nga


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...