lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu freed mushaga - sema nami

Loading...

sometimes tunakosa
hapiness katika maisha
sababu twaitafuta mbali

twaendea njia mia
yaani twakosa kutulia
haitoshi twakosa kuji swali

there inside of you wariwo idoboze
it’s reminding you harmony comes from yourself
kuwa na amani nawewe mwenyewe
furaa sini bure sasa kwanini uteseke

sema nami tafadhali wee
cheza nami tafadhali wee
cheka nami tafadhali wee
kula nami tafadhali

sema nami tafadhali wee
cheza nami tafadhali wee
cheka nami tafadhali wee
kunywa nami tafadhali

umna nana nana umna nana nana
umna nanana umna
umna nana nana umna nana nana
umna nanana nana nanana uh uh
sometimes tunangoja
tukuje kuaga dunia
ndio sasa tu enjoy kua hai
twabishana na akili zetu
mioyo yetu yatu gombanisha
ni wakati kuirudisha amani
there inside of you wariwo idoboze
it’s reminding you harmony comes from yourself
kuwa na amani nawewe mwenyewe
furaa sini bure sasa kwanini uteseke

sema nami tafadhali wee
cheza nami tafadhali wee
cheka nami tafadhali wee
kula nami tafadhali

sema nami tafadhali wee
cheza nami tafadhali wee
cheka nami tafadhali wee
kunywa nami tafadhali

sometimes tunakosa
hapiness katika maisha
sababu twaitafuta mbali
twabishana na akili zetu
mioyo yetu yatu gombanisha
ni wakati kuirudisha amani
umna umna
huh heh
uh uhu uh
umna nana nana umna nana nana
umna nanana umna
umna nana nana umna nana nana
umna nanana nana nanana uh uh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...