lirik lagu florence andenyi - majibu
nainua mikono yangu juu
napasa sauti yangu eh
nainua mikono yangu juu
napasa sauti yangu eh
sikia kilio changu baba
sikia maombi yangu oh
sikia kilio changu baba
sikia maombi yangu oh
majibu yako tu, ndo nangoja
baraka zako tu
majibu yako tu, ndo nangoja
baraka zako tu
eh kama nikuomba nimeomba baba
kama nikufunga nimefunga sana
siku ishirini na moja nikitafuta uso wako
kwa mlima huu nakungoja yesu
shusha utukufu wako nikuone leo
majibu yako tu, ndo nangoja
baraka zako tu
majibu yako tu, ndo nangoja
baraka zako tu
kuna wale wanangoja, majibu ya fedha
wengine wanangoja majibu ya huduma
yule kijana anangoja karo ya shule
fungua yesu, wakuone leo
fungua mlango daddy eh
ulisema mwenyewe bisha utafunguliwa
na tena ukaaema omba utapewa
fungua milango baba, yahweh
fungua milango, daddy, oh
fungua milango baba oh
fungua milango, yahweh eh
majibu yako tu, ndo nangoja
baraka zako tu
majibu yako tu, ndo nangoja
baraka zako tu
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu nanga - dziki zachód
- lirik lagu brownboyjesus - no intro
- lirik lagu melo - pitäkää kii!
- lirik lagu sorgu - bu isyan
- lirik lagu damn icey - volo
- lirik lagu yerry - dessauer kudamm
- lirik lagu kylea - hope you
- lirik lagu rose awuku - just like you
- lirik lagu dry cleaning - her hippo
- lirik lagu kosi - tu