lirik lagu florence andenyi - kibali
baba naomba kibali chako (father i ask for your approval)
yesu naomba ushirika wako (jesus i pray for your fellowship)
masiya naomba kibali chako (messiah i pray for your approval)
kibali chako, kwa uimbaji w~ngu (your approval for my singing)
kibali chako, kwa huduma yangu (your approval for my ministry)
nishikilie nisianguke baba (father hold me that i may not fall)
natamani nikae na wewe maishani (i desire to abide with youu in life)
ninapoimba uwepo wako ushuke baba (when i sing, may your presence come)
nisiwe na kiburi ndani yangu nitumie baba
(that i should not harbour any boast, use me father)
kama ndabihu iliyosafi mbele zako, nitumie yesu
(as a worthy offering before you, use me jesus)
naona mbingu zikifunguka katika kuabudu (i see the heavens open in worship)
naona sifa zikitanda dunia yotе (i see praises spreading across the world)
najitoa kama dhabihu nitumiе baba (i give myself as an offering, use me father)
wewe ni mwema sana umetukuka (you are good, you are exalted)
hakuna kama wewe (there is no one like you)
wewe ni mwema sana umetukuka (you are good, you are exalted)
hakuna kama wewe (there is no one like you)
naona mbingu zikifunguka katika kuabudu (i see the heavens open in worship)
naona sifa zikitanda dunia yote (i see praises spreading across the world)
naona mbingu zikifunguka katika kuabudu (i see the heavens open in worship)
naona sifa zikitanda dunia yote (i see praises spreading across the world)
nishikilie nisianguke baba (father hold me that i may not fall)
ukiniacha nitamezwa na dunia (if you abandon me, i’ll be swallowed by the world)
naomba unishikilie wokovu w~ngu (i pray for you to hold my salvation)
naomba unishikilie imani yangu (i pray for you to hold my faith)
achilia kibali chako ndani yangu (release your approval within me)
achilia uwepo wako ndani yangu (release your presence within me)
achilia ushindi wako juu yangu (release your victory on me)
achilia amani yako juu yangu (release your peace on me)
achilia kibali chako ndani yangu (release your approval within me)
achilia uwepo wako ndani yangu (release your presence within me)
(verse 1)
naona mbingu zikifunguka katika kuabudu (i see the heavens open in worship)
naona sifa zikitanda dunia yote (i see praises spreading across the world)
naona mbingu zikifunguka katika kuabudu (i see the heavens open in worship)
naona sifa zikitanda dunia yote (i see praises spreading across the world)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu john noir smith - what to do
- lirik lagu pev - orgulho
- lirik lagu meltberry - piano keys
- lirik lagu fully top dolla - night till morning
- lirik lagu t.o.l.d. - икона(icon)
- lirik lagu solemn quad diciplez - shoot me down
- lirik lagu generale - zitta e guarda
- lirik lagu rachael fahim - quick fix
- lirik lagu sogumm (소금) - 위로 (encourage) (romanized)
- lirik lagu sayaka yamamoto - weeeekend☆