lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu fivara - usiempenda kaja

Loading...

“usiempenda kaja” – fivara

[intro:]
yeah one, two
fivaaa
prof. ludigo, touch music

[verse 1:]
utafanya nini? usiempenda kaja
yule mbaya wao ambae jina hawajamtaja
pasi na majisifu ila wakija wanataga
fiva nikija nazaba, n-z-shindua bawaba
nimesheheni yani ni full mazaga
new school lyrical, sio new school swagger
hawawezi maandishi, kushika biki labda
navyowakalisha utadhani wamekaa na baba
matawi ya juu, nayopanda yale ya langa
kisha ya chini, nawaachia ninyi, hamjajipanga
kinachofata ni michongo, we nipe radar
yani kama una collabo, niachie mada
kama ni avocado, nawaachia maganda
najua mtaboronga basi nawaachia kuanza
nawaachia kupanda
niwaone mtavyotweta kwani vina nishawaambia kupanga

[verse 2:]
utabana vipi? usiempenda kaja
nawapita kwa vyenga na mkizingua upaja
askari kama mimi, hakuna kusanda
sapoti ya wahuni inatosha, hakuna ubanda
ebu ona tofauti, kukohoa na kubanja
nitofautishe na mamluki ka’ kutoboa na kukaza
utapagawa, endapo utahuk-mu jarada
kilicho ndani hujasoma, mbona unahuk-mu haraka?
roho mbaya sijui hata maandiko yanakataza
flow mbaya sijui, sio ujiko, skia ladha
n-z-di kukaza hizi kamba
niweze kutembea popote, nikitamba
hakuna wa kubisha yoyote, nikianza
mchezaji ka’ mimi, siulizagi “vipi namba?”
na hii ni kwa wote waliouliza, “vipi mwamba?”
“track lini?”, mi nikawajibu, “subiri kwanza”


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...