lirik lagu fivara - beti za rohoni
[verse 1]
umenishika hisia sielewi kwako nimedata
wengi wanavyofikiria labda umenipa limbwata
k~mba hapana! ni mapendo nayopata
kwako nishazama, kuokolewa sitotaka
washikaji zangu walikwisha niambia
kuwa demu w~ngu hafai
(oya! oya! huyo demu hafai mwanangu, achana nae)
mimi nilicho waambia
kuwa simwachi hata kama shemu wenu hazai
kwani najua nachopata ni nini
hivyo kwako sing’oki hata ukinasa ukimwi
mambo ya chumbani ukinitomasa ulimi
ni utamu wa asali napozama chumvini
unanitega tu kwa mbali sio mpaka kimini
kiukweli nipo tayari kula hata yamini
tufunge ndoa, twende fungate, tuishi wawili
kukaa mwenyewe inaboa nataka pishi kamili
[chorus]
nimeamua nikuimbie beti za rohoni
wa ubani naomba uniweke moyoni
tuwe wote hata tukitupwa shimoni
acha niyaseme maana yamefika shingoni
beti za rohoni, nikuimbie, nikuimbie, nikuimbie
beti za rohoni, wa ubani naomba uniweke moyoni
[skit]
love is sweet
love is kind
love is purе
love is unconditional
love is pricelеss
love is everything
[verse 2]
kukupata nimesota najiona mwenye bahati
nilikua nishachoka sikujiona mwenye bahati
ukaja kuniokoa sikujua umetoka wapi
nilikua nishapoa, walioniboa sijui w~ngapi
nikiwataja kwa majina siwamalizi
sababu za kuachana zile zile wala sio fumanizi
lack of capital, low wages
population, geographical area, usimamizi
nilikua sieleweki ka makazi ya mkimbizi
nilikua sideki, sineng’eng’eki ilikua tizi
haikua easy kidogo nipagawe
ila mambo yamekua rahisi nilipokutana nawe
umekuja na furaha yangu ukairudisha
nilikua nimezubaa nimekosa tumaini la maisha
umekuta nimefubaa ila ukanitakatisha
sikua na mw~nga ukawasha taa ukanibadilisha
[chorus]
nimeamua nikuimbie beti za rohoni
wa ubani naomba uniweke moyoni
tuwe wote hata tukitupwa shimoni
acha niyaseme maana yamefika shingoni
beti za rohoni, nikuimbie, nikuimbie, nikuimbie
beti za rohoni, wa ubani naomba uniweke moyoni
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu prometheo - iena
- lirik lagu el papi - overlord 2019
- lirik lagu ricky hil - what i am
- lirik lagu elefreak - ceguera
- lirik lagu twikipedia - masks
- lirik lagu between friends - stay with it bby
- lirik lagu adrian freedman - be in the light
- lirik lagu raí saia rodada - estepe da sua vida
- lirik lagu through arteries - i slept with tom delonge
- lirik lagu cool olivia - dreams are memories from another dimension