lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu fid q - utaua game

Loading...

[intro: fid q & juma nature]
yeah
haina uf~gio

[verse 1: fid q & juma nature]
uh
kama haileti hela, basi hai~make sense
na (?) masela ‘mi nitakomaa na hizi tense
sinto sound garbage au ku~change suddenly
mi ni mjeshi, so naweza fight savagely
(aya)
expect nothing less (?) full victory
kila nikicheki mic ’najihisi ku~make history
j~po sio jigga ‘fid q ni [true kid]
naandika ka zavara, na sound ka [new kid]
cheki mysp~ce ‘nasifika hadi brooklyn
mi ndio king wa motherland; nauza mixtapes sio (?)
ambassador wa dance for life (?)
kuwa emcee ‘ni kama mfano wa kuigwa na hii jamii
sijisfi ili niogopwe na struggle bila makuzi (woo!)
mi kuwa real sichoki, sitoi bubble~gum music
(aya)
sijaanza ‘juzi au jana, mi music nafanya long time
wapuuzi wanaomba sana nisiuzwe, wakati na rhyme tamu
sitaki utajiri na omba mniazime masikio
haya ni zaidi ya mashahiri, please usizime redio
na ujua muziki zaidi ya nnavyo jijua
hadi nimekuwa kiasi hiki, ujue mbishi niliamua
[chorus: fid q & juma nature]
unaposema wеwe ni mkali
wakati (?) na redio zinakupa promo ya hatari, ‘unaua game
mnaposеma nyie ni wakali
wakati (?) na redio zinawapa promo ya hatari, ‘mnaua game
mnaua game
mnaua game,
(mnaua game)
unaua game
(unaua game, yeah)
mnaua game
(mnaua game)

[verse 2]
ushauri wao ulikuwa ni msafi lakini mifano yao ni mibovu
sasa glasi imekuwa almasi na copper imegeuka gold
kama utachoma miti hakikisha hauombi mvua
ukiishi kwa adabu, ukifa utazikwa kwa heshima chini ya jua (uh)
sipingwi upande huu, sishibi kwa picha ya mkate tu
wakati ndio huu, na hizi sio harakati tu
siamini kama commercial inaweza k~mkomboa emcee ‘lakini (?)
angalia kibao kisitoke mchuzi, chukuchuku hainogi
mayai hubaki kuwa meupe, j~pokuwa kuku haogi
tangu enzi na rap kwenye karaoke machine
hip~hop siku zote na mimi
niitose, imenikosea nini?

[chorus: fid q & juma nature]
unaposema wewe ni mkali
wakati (?) na redio zinakupa promo ya hatari, ‘unaua game
mnaposema nyie ni wakali
wakati (?) na redio zinawapa promo ya hatari, ‘mnaua game
mnaua game
mnaua game,
(mnaua game)
unaua game
(unaua game)
mnaua game
(mnaua game)
yeah

[verse 3]
(?) control fikra zenu kama tela~vision
hip~hop sio mayeno, huku sera haziishi
angalia ulicho andika kabla hujaanza ku~flow
siamini mbana pua anaweza kuwashika zaidi ya hard~core
kuna emcee, ma~rapper na wasanii wa hip~hop
na kuna ma~hustler ambao haiwalipi kama (?)
unataka kuwa emcee?
kwa hizi kanuni utatisha, verse utility, lyrics na industry impact, battle sk!lls, vocal presence na mwili wa kazi
[longevity] ‘uweze pia kufanya live performance
umeona, umenisoma; emcee wa kweli hitaji drugs
u~umeona, umenisoma; emcee wa kweli hitaji drugs
(unaposema)
we ni mkali, wakati (?) na redio zinakupa promo ya hatari, unaua game
mie nipo tayari kwa vita, sihiitaji ku~negotiate
usiseme wewe uko real, wakati unajijua ni fake
wachache ni ma~snitch, wana~diss huku wana~respect
street wanaomba peace, n~z~di ku~keep distance
kwanza hii sio hip~hop ‘mwanza huita “fid~hop”
na mi ndio mtaza~, n~i~a ‘kwa hits si stop
hii sio hip~hop ‘mwanza huita “fid~hop”
na mi ndio mtaza~, n~i~a ‘ku hit si stop
[chorus: fid q & juma nature]
unaposema wewe ni mkali
wakati (?) na redio zinakupa promo ya hatari, ‘unaua game
mnaposema nyie ni wakali
wakati (?) na redio zinawapa promo ya hatari, ‘mnaua game
mnaua game
mnaua game,
(mnaua game)
unaua game
(unaua game)
mnaua game
(mnaua game)
[post~chorus: fid q & juma nature]
unaposema wewe ni mkali
wakati (?) na redio zinakupa promo ya hatari
ha~ha~ha~ha~ha
mnaposema nyie ni wakali
wakati (?) na redio zinawapa promo ya hatari, ah
mnaua game
mnaua game,
(mnaua game)
unaua game
(unaua game)
mnaua game
(mnaua game)

ha~ha~ha~ha
mule, mure
wewe
aya


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...