lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu fid q - mwanza mwanza

Loading...

[verse 1]
yo
nilianza rap kabla mtoto wa dandu hajafa
sugu hajatoa albamu, bony love hamjui falsafa
mlangoni msanii ~n~lipa, professa anajiita “n~gga”
enzi hizo kuingia sokoni sio lazima viitikio vya kuimba
yaani sio baada [‘y~thang] ghafla alipo geuka solo
hii ni kabla ya ‘o~ten, na mfalme sele wa moro
mkali wa rhymes ambaye soggy doggy hamtaki
anamuita kobe’ hawezi mzidi mbio farasi
nilianza mox hamjui ngwair, ghafla wakagombea mikasi
kabla ya kesi ya babu seya
na ucheshi wa zembwela na max
asiye mpenda ndugu yake ambaye anaye muona
hawezi k~mpenda mungu asiye muona
donda ndugu haliwezi pona
akipendacho mungu wewe huwezi kukichukia
aliye kupa ndio aliye nnyima ‘ipo siku atanifikiri
ya juzi sio ya jana
na hata jana sio ya leo
enyi vifata upepo ‘kesho mtakosa muelekeo
ndio’
ndio isiyo ndiyo, ni ndiyo kiutani
lakini siyo ya ndiyo huenda ikawa ndio, ‘ndio kiundani
yaani unaweza ukawa mpagani ‘lakini unayo kabila
na hauwezi kuwa fanani bila hadhira
[chorus]
hayakuhusu kama rah p
nakuja zaidi ya sista p
sijachuja, sijavuja
niite
(mwanza, mwanza!)
miе majani kama p
rasta kama baba t
masta kama [grey macheda] na piga ka bruce lee
hayakuhusu kama rah p
nakuja zaidi ya sista p
sijachuja, sijavuja
niitе
(mwanza, mwanza!)
mie majani kama p
rasta kama baba t
masta kama [grey macheda] na piga ka bruce lee

uh, yeah

[verse 2]
we ni simu na una dola
mie ni number ‘mbona hunipigi?
mie ni kombora ‘we ni ngao, mbona hujilindi?
ni bora ningeumbwa nyoka
ningeyavua magamba milele nisingezeeka hip~hop ingeendelea kutamba
maua hunyauka, stori huisha, k~mbuk~mbu husahaulika
yote hii inamaanisha hii dunia sote tunapita
muziki kw~ngu kazi ‘na jembe ndio nyenzo muhimu
rafiki, usidharau n~z~ ’embe ni tunda la msimu
ukitaka’ k~mfuga chatu, andaa unga wa k~mlisha
ukitaka’ kufika tatu, moja na mbili uwe umezipita
ki muziki mi na maujanja
hamchaniki kama pancha, mie na burst zaidi ya pancha ‘nipo fit, nipo fasta
style yangu itawapa (?) ka mr. nice na (?)
sauti yangu sio nyepesi ‘hamuiwezi, kaishindwa babu ayubu
natoa vingi j~po kuwa vichache napokea
nazama ndani ya dimbwi ‘kama muongo aliye sutwa kwa umbea
au mr. nyabinghi ‘kila dakika naongea
mnataka bling kama blue, au hard~core kama mbonea?
niite king fid q, mwana wa aliye juu
namuamini mungu tu sababu mimi sio mshirikina
wapo wanaopatwa chuki wakiona nimefanikiwa kiaina
wewe ukipata mia, sifuri atapewa nani?
wengi [hudata] wakisikia nimenata na beat za majani
uh, washatabiri watu w~ngu wa mtaani
mi ndio mfalme atayefuata zaidi ya sulemani
[chorus]
hayakuhusu kama rah p
nakuja zaidi ya sista p
sijachuja, sijavuja
niite
(mwanza, mwanza!)
mie majani kama p
rasta kama baba t
masta kama [grey macheda] na piga ka bruce lee
hayakuhusu kama rah p
nakuja zaidi ya sista p
sijachuja, sijavuja
niite
(mwanza, mwanza!)
mie majani kama p
rasta kama baba t
masta kama [grey macheda] na piga ka bruce lee

yeah

[verse 3]
ni vyema kujifunza mengi, sio kujua kila kitu
nimeamua ‘kuwa vegetarian, sijui lolote kuhusu beef
mie na master ya ubunifu
na degree ya hii kitu
mtu muhimu ndani ya jamii
mapinduzi kila siku
wenye wivu mkae mkijua, ‘wivu humua mtu mjinga
mtoto wa uswazi akijichubua haimaanishi anaukimbia uafrika
ubongo w~ngu una mabawa ya kupaa ‘kwenye mbingu za fikra
nnavyoishi ki~hardcore, ‘unaweza ukahisi nimepigika
emcees wanaiga nnavyo flow, wapate show za uhakika
zinawalipa ‘kinacho washinda hawawezi kuandika
je, watafika?
au kwa spika tu ‘kusikika kwa wahusika, ujumbe utafika
au kwa spika tu ‘kusikika kwa wahusika, ujumbe utafika…
kote nionapo mic ‘najisikia nipo nyumbani
nije kwa basi, boti, treni au flight ‘nijumuike nanyi
zaidi ya condom kwa mzinifu, nnavyo wakinga na magonjwa
kauli zangu mie ni nzito, sio mzigo unaovushwa border
tusibishane kuhusu hip~hop, utaendelea kungoja
fid ni jeshi la mtu mmoja, sikopeshi’ kwa nguvu ya hoja
nipo mbio zaidi ya race, na ujio sio wa verse moja
nipo mbio zaidi ya race, huu ujio sio wa verse moja
[chorus]
hayakuhusu kama rah p
nakuja zaidi ya sista p
sijachuja, sijavuja
niite
(mwanza, mwanza!)
mie majani kama p
rasta kama baba t
masta kama [grey macheda] na piga ka bruce lee
hayakuhusu kama rah p
nakuja zaidi ya sista p
sijachuja, sijavuja
niite
(mwanza, mwanza!)
mie majani kama p
rasta kama baba t
masta kama [grey macheda] na piga ka bruce lee

(instrumentals)

[outro]
(mwanza, mwanza)
(mwanza, mwanza)
(mwanza, mwanza)
macheda, ‘napiga ka bruce lee


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...