lirik lagu ferooz - polisiman
[chorus: ferooz & maunda zorro]
una thamini wenye mali
tabaka la chini ukitukuta shari, shari
tena muhuni hapa ni tayari’ tayari kujenga taifa pasipo dosari
mr. police, police, police man
tunaku~diss, ku~diss, ku~diss kitaani
mr. po~po~po~po, police man
tunaku~diss, ku~diss, ku~diss mtaani
mr. police, police, police man
tunaku~diss, ku~diss, ku~diss kitaani
mr. po~po~po~po, police man
tunaku~diss, ku~diss, ku~diss mtaani
[verse 1: ferooz & maunda zoro]
ni juzi ulikamata mmbakaji
leo yuko huru tulisema kama (?), aaah
kwenye mataa yazidi nusu saa ‘ajali mbaya imetokea, unalewa bar
tunaita mwizi, mwizi, chizi, ‘chizi
wewe unaukaribisha usingizi
ulipo nikuta na majani ukanipiga pingu kisha ukanisweka ndani
kama nini nishavuna…aaah ah
ukanichukulia mapene bila tuhuma…aaah ah
biashara ya madawa ya kulevya inakuwa kila kukicha
mateja wananyeta (?) cha ukucha
kupambana nasi we utaka ule ushibe…eeeh
acha pengo majemedari wazibe
oooh
oooh
[chorus: ferooz & maunda zoro]
una thamini wenye mali
tabaka la chini ukitukuta shari,shari
tena muhuni hapa ni tayari’ tayari kujenga taifa pasipo dosari
mr. police, police, police man
tunaku~diss, ku~diss, ku~diss kitaani
mr. po~po~po~po, police man
tunaku~diss, ku~diss, ku~diss mtaani
mr. policе, police, police man
tunaku~diss, ku~diss, ku~diss kitaani
mr. po~po~po~po, police man
tunaku~diss, ku~diss, ku~diss mtaani
[verse 2:]
hands up, hands up, hands up ‘mikono juu
ghafla anakubambikia kеsi
wote hands up, hands up, hands up ‘mikono juu, anahitaji cash
hakuna kidhibiti, masela uzushi ‘unapiga mtu mpaka anashindwa kuishi
umeniharibia hata kwa w~ngu wa ubani mpenzi
eti mimi tapeli ‘kudumu nae siwezi
k~mbe unamrubuni, moyoni unamtamani
tabia ya kutaka wake za watu itakutokea puani
kwenye radio~call, ukaita na wenzako
pande zote mnitafute mkaanza msako
nikiwa kwenye pilika napigika na njia ‘walipotokea masela wote tukatambaa
(?) nilikimbia kwa hofu (?) nusura wanitoe mnofu
(?) nilikimbia kwa hofu (?) nusura wanitoe mnofu
[chorus: ferooz & maunda zoro]
una thamini wenye mali
tabaka la chini ukitukuta shari shari
tena muhuni hapa ni tayari’ tayari kujenga taifa pasipo dosari
mr. police, police, police man
tunaku~diss, ku~diss, ku~diss kitaani
mr. po~po~po~po, police man
tunaku~diss, ku~diss, ku~diss mtaani
mr. police, police, police man
tunaku~diss, ku~diss, ku~diss kitaani
mr. po~po~po~po, police man
tunaku~diss, ku~diss, ku~diss mtaani
[hook: maunda zoro]
shari, shari (mr. police man)
shari eeeh…
[verse 3: ferooz & maunda zoro]
mambo unayapeleka holela, holela, holela
kila kitu holela, holela
wa kush, majita sewa side masela wasio na hatia wako jela kama jela
haa, haa
shari, shari
mambo unayapeleka holela, holela, holela
kila kitu holela, holela, shari
wa kush, majita sewa side masela wasio na hatia wako jela kama jela
haa, haa
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu glockenbach & öwnboss - secrets
- lirik lagu conway the machine & wun two - carduni
- lirik lagu thanasis papakonstantinou - urbanum
- lirik lagu kidcrybaby - numb christmas
- lirik lagu ricky bravo - dying 2 live
- lirik lagu ryan gosling - i'm just ken (in my feelings acoustic)
- lirik lagu wynton marsalis - mary had a baby
- lirik lagu ilmarinen - pohjatuulten takana
- lirik lagu j0rg3 - soul
- lirik lagu jill viegas - song best-of