lirik lagu ferooz - jirushe
[intro]
sikia tangazo maalum toka kwa dj
aliye poteza ufunguo wa gari hii hapa aje
(instrumentals)
yo!
unh~huh
ruka! (unh~huh)
jirushe!
wacha kusita
unh~huh
ferooz!
ruka (unh~huh)
ru~ruka
ruka!
unh~huh
[verse 1: ferooz]
kona zote za mji wote wametinga hapa
wenye mavumba na wachumba ndio wanao chapa (haha)
nawe jirushe, jirushe
wacha kusita ingia kati ujirushe
midaa inavyo kwenda’ party in~z~di shamiri
watu wan~z~di ongezeka kama’ vile utitiri
huwezi amini warembo walivyo umbika, marashi yananukia utasema vile malaika
oyoo!
yo’ njoo turuke wote
come, ruka, yo’ njoo turuke wote
ukiangalia vinywaji vimejaa kaunta zote mabibi na mabwana kwa mbwembwe wanaongozana
masela nao wanapiga donei waweze kuzama
…
party ya leo imejaa, imetawaliwa na furaha
hakuna mjinga yoyote ambae ataleta karaha
endapo nitaikamata stick ya pool table, ntapanga hadi mwisho kuiwakilisha bongo records label
mkononi, shingoni natisha bling bling kachaa
mkono mmoja glasi ya whiskey nyingine nimek~mbatia mama
nawe jirushe (c’mon)
jirushe, rushe ( unh~huh)
[chorus:]
jirushe, jirushe
jirushe, rushe
jirushe, jirushe
jirushe, rushe
leo kwa pamoja tumekusanyika
na muda wa ku spend sasa umefika
masela ruka’ (ai!) kwa mizuka (ai!, ai!)
ingia kati(ai!)
serebuka (ai!, ai!)
masela ruka’ (ai!) kwa mizuka (ai!, ai!)
ingia kati(ai!)
serebuka (ai!, ai!)
[verse 2: jay moe]
(mo technique)
(?) pembeni ustaarabu uombe samahani
tuende ukaone mambo yanayo tokea usiku duniani
au unataka demu?
wapo wembamba, wapo wenye mgongo
au unacheza pool? okay
tuende nkakuoneshee kiw~ngo (jirushe)
kama unataka kwenda kwenu, nenda
wenzako wanajituma ili mradi wapige hata denda
lakini k~mbuka mpira usije ukaleta drama
hapa hakuna demu wa kwenda nae nyama kwa nyama
kama ulimi ni mzito, omba mtu akupige tough
na’ baunsa akilewa, toilet unakula puff
midudu inawaka ikiona umefikisha bia tatu
hali nnavyo bashiri leo lazima atabebwa mtu (jirushe)
dada zangu wa kisasa ndani ya jeans wamevaa g~string
mabishoo wamevaa midosho, wanazuga eti bling
jirushe kama unachako mf~koni sio cha mshkaji
wananiita mo techniques ukipenda m(?)
[chorus:]
jirushe, jirushe
jirushe, rushe
jirushe, jirushe
jirushe, rushe
leo kwa pamoja tumekusanyika
na muda wa ku spend sasa umefika
masela ruka’ (ai!) kwa mizuka (ai!, ai!)
ingia kati(ai!)
serebuka (ai!, ai!)
masela ruka’ (ai!) kwa mizuka (ai!, ai!)
ingia kati(ai!)
serebuka (ai!, ai!)
[verse 3: ferooz]
ma…mademu kwenye dance floor, ebu nyoosha mikono yenu juu, mikono juu’ jirushe!
na machizi kwenye dance floor, ebu nyoosha mikono juu, mikono juu’ tujirushe ee eeeh…
tujirushe ee eeeh…
tara rara tara rara
hey, hey
sasa umefika muda kuingia kati mmoja mmoja
kwanza ngoja nacheza (?) mi naanza vioja
mi na masela w~ngu, wazushi nao kama kawaida wanapiga virungu
dj (?) mixer pia anachengua umati
hip~hop, bolingo, mduara na ragga m~ffin
mpenzi, nnapokwenda nawe nifate (unh~huh)
nikikuk~mbatia nawe mabega unikamate (yo,yo)
usiwe na wasi usafiri wa kuondoka nje upo
nipo na wewe leo sina habari na milupo
[chorus:]
jirushe, jirushe
jirushe, rushe
jirushe, jirushe
jirushe, rushe
leo kwa pamoja tumekusanyika
na muda wa ku spend sasa umefika
masela ruka’ (ai!) kwa mizuka (ai!, ai!)
ingia kati(ai!)
serebuka (ai!, ai!)
masela ruka’ (ai!) kwa mizuka (ai!, ai!)
ingia kati(ai!)
serebuka (ai!, ai!)
(instrumental break)
[chorus:]
jirushe, jirushe
jirushe, rushe
jirushe, jirushe
jirushe, rushe
leo kwa pamoja tumekusanyika
na muda wa ku spend sasa umefika
masela ruka’ (ai!) kwa mizuka (ai!, ai!)
ingia kati(ai!)
serebuka (ai!, ai!)
masela ruka’ (ai!) kwa mizuka (ai!, ai!)
ingia kati(ai!)
serebuka (ai!, ai!)
outro:
yeah, si utani
majani, marijani
bongo records’ kwenye fani, ausio?
(instrumental break)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu giaron - 200 metri
- lirik lagu yung drug - mazza
- lirik lagu chabelos - me hago caca
- lirik lagu meanna - как знаешь (how do you know)
- lirik lagu anita sibona - si o no
- lirik lagu leellamarz & meenoi - 사랑은 (love is)
- lirik lagu nekozuna - onez liek u they make me shy!!!
- lirik lagu josh cortes - livia (feat. nelly & kelly rowland) - caesars edition
- lirik lagu ingwa - stage 3 (the power)
- lirik lagu neviglazz - neya