lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu femi one - intro (17b)

Loading...

ukianza kushika mkwanja nd’o v’le enemies scheme
jina inajulikana n’ko kwa everything big
longevity, inaseem i’m ahead of these things
maisha’a~usanii ni toxic zaidi ya methylene steam

shiko kadem ka mwiki kasa seventeen b

n’kafall in love na mziki and what the industry itabring ~ picture evergreen trees, leafy suburb sweet bliss?

n’kazama ndani ya mchezo kama submarine seal

mahater wajai niimagine mi nd’o bingwa in this b~tch
nishavalishwa taji juu ya kichwa and it fits

baridi ya watiaji haipiti glass ya windscreen
nishatema washkaji n’kama tangarine seeds

banga~iz siz, mi ndo mama these kids
na sharti niwafunze ama mtamangwa in these streets
nko kazi, lazma mkule, i guess ni motherly instincts
inafaa mpelekwe shule, on how to murder these beats (aaaargh)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...