lirik lagu ezzy skillz - uzushi
yeah
wah gwan
teh teh
let’s get it
“ni uzushi tu… ni uzushi tu”
(desekepi music)
ezzy …yeah
ni uzushi tu
ah ah ni uzushi tu
ni uzushi usiwaskize huo ni uzushi tu
ni uzushi tu
ah ah ni uzushi tu
ni uzushi usiwaskize huo ni uzushi tu
eeeh ni uzushi tu…
aaah ni uzushi tu
eeeh ni uzushi usiwaskize huo ni uzushi tu
eeeh ni uzushi tu…
aaah ni uzushi tu
eeeh ni uzushi usiwaskize huo ni uzushi tu
woke up mapema mida flani morning
nacheck muda kwenye saa yangu mkononi
wananiskia tu cha ajabu hawanioni
i step outta my hood nakutana na nyomi like
we si ndiyo yule sk!llz noma kila ngoma
naskia unawachana kinoma, mhh
nimeskia eti unatoka na wema mnafanya cinema
unawala hakuna shimo unadema
kuwa makini na unachokiongea
tumia ulimi kufikisha habari njema siyo umbea
bila ushahidi hauna haki ya kuongea
so you better you better takecare
lolote linaweza tokea
chalii umepanic relax jomba
haya ni maswali tu si hatujaja gombana
tunayaskia mengi ila mbona unatuficha
naskia una mchumba na mnataka funga pingu za maisha
ni uzushi tu
ah ah ni uzushi tu
ni uzushi usiwaskize huo ni uzushi tu
ni uzushi tu
ah ah ni uzushi tu
ni uzushi usiwaskize huo ni uzushi tu
eeeh ni uzushi tu…
aaah ni uzushi tu
eeeh ni uzushi usiwaskize huo ni uzushi tu
eeeh ni uzushi tu…
aaah ni uzushi tu
eeeh ni uzushi usiwaskize huo ni uzushi tu
naona muda umefika naomba nkafanye mambo ya maana
maswali yenu mwisho tutakuja kugombana
sitaki vita please tuziepushe hizo lawama
tunayokutana nayo anayejua ni laabana
usinletee masentrepede nataka malizia wewe
naskia yule mtoto bado unamf~kuzia wewe
mtaa wa kati amesema unakibamia wewe
hivi ni kweli ama wanakuzushia wewe
yeah
achana na hizo story broh maana
siyo kweli huo ni uzushi tu bwana
wanapakazia kuhusu mimi kisa wana ulimi wanataka niwe chini yao
aah
niamini niamini
chochote nachokifanya niko makini
huwezi kuwa mimi kwa story za mjini
zinakuchanganya unahisi unaweza uka amini
ni uzushi tu
ah ah ni uzushi tu
ni uzushi usiwaskize huo ni uzushi tu
ni uzushi tu
ah ah ni uzushi tu
ni uzushi usiwaskize huo ni uzushi tu
eeeh ni uzushi tu…
aaah ni uzushi tu
eeeh ni uzushi usiwaskize huo ni uzushi tu
eeeh ni uzushi tu…
aaah ni uzushi tu
eeeh ni uzushi usiwaskize huo ni uzushi tu
written by ezzy sk!llz
2020©
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu benny blanco - eastside
- lirik lagu cóndor - reina
- lirik lagu dehmo - 1000 points
- lirik lagu nikhil swaroop - mann ae mann
- lirik lagu ponty p - new metal
- lirik lagu 2 breezy - emotion
- lirik lagu vallerie muthoni - by the ocean, listening 2 frank ocean (live)
- lirik lagu dekit - tak ładnie
- lirik lagu elyahu - the show
- lirik lagu harry styles & louis tomlinson - back home with you