lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ezzy skillz - mida mibovu

Loading...

yeah
mida flani hivi
si tushaizoea
ndiyo mida yetu au sio

mida mibovu nje na wana kibao
hatari wachawi w~nga tunapisha nao
mbishe za boda mida flani wanaokota abiria
kama wakuja unaweza juta unaweza kuta
maana wahuni wanataka nafasi
ukipata pasi basi na pasi
uko na manzi umetoka party
hauna wasi bebe anachat
unakatiza mitaa ya kati
ile kuhamaki upo mtu kati
(mida mibovu ile kuhamaki upo mtu kati)

mida mibovu
mida mibovu
mida mibovu
mida mibovu

si unajifanya mwamba bisu uko nalo mkononi
eti haujui me nani
me naipanga kali pisi inakushika ugoni unabaki huna kitu tu ndani
utakuja kushtuka
uko na bukta
unajuta
uko kitandani
me mkali wa hizi nukta ukinivuta
ntakushusha
na hawata kutamani
ukijifanya bishoo
utakutana na ngeta
tuna lay low
hizo mambo hatuwezi leta
usijifanye we much know mjini wenyewe tumekuleta
tuna lay low
usije ukahisi umetuteka bro

mida mibovu
mida mibovu
mida mibovu
mida mibovu

writted by ezzy sk!llz
2020©


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...