lirik lagu exray - sipangwingwi
[chorus~exray]
maisha ni yangu, we shughulika na yako
napenda za kw~ngu, we shughulika na kwako
mi sipangwingwi, sipangwingwi
mi sipangwingwi, sipangwingwi
mi sipangwingwi, sipangwingwi
mi sipangwingwi, sipangwingwi
[verse:1~exray]
unataka mtu simple humble, rich young
ndo upeane namba
unataka mtu mdark, mlight mtall
babe tafuta wababaz
unaplan future yetu k~mbe uko alone
maisha ni safari mi na ride along
labda mi niomoke nikuitage form
ama labda we uomoke nikujage home
mi nayo pombe siwezi onja
aiii nakunywa yote
na akiamua kukupatia
aiii chukua yote
[chorus~exray]
maisha ni yangu, we shughulika na yako
napenda za kw~ngu, we shughulika na kwako
mi sipangwingwi, sipangwingwi
mi sipangwingwi, sipangwingwi
mi sipangwingwi, sipangwingwi
mi sipangwingwi, sipangwingwi
[verse:2~trio mio]
mi sipangwingwi, kijana ni gwiji
utapangaje morio ana kashilingi kwa wingi
mafeelings za nini mi ni jangili kamili
nasuka mamdenge za matajiri wa mjini, samahani
chai fupi nmejaza maziwa na majan
sikusuki mi ni trio mio watagwan
ka hunijui unajifanya bombo haja gan
abiria nawapanga ka makanga wa kasaran
ama vijiti za viberiti ndani ya boxdem
w~nga stishiki naget mabinti nawachokdem
washa ngwariti tuskie fiti adi shokdem
cheza na mangoksdem
[chorus~exray]
maisha ni yangu, we shughulika na yako
napenda za kw~ngu, we shughulika na kwako
mi sipangwingwi, sipangwingwi
mi sipangwingwi, sipangwingwi
mi sipangwingwi, sipangwingwi
mi sipangwingwi, sipangwingwi
[verse:3~ssaru]
aah mi sitambui mbui, mi mchana buibui
nikiwa mababi mahali leta maruirui
na niko na mashoga kibao nataka madui dui
sitaki kifisi niko bongo nasaka chui chui
ukitaka mizuka, mimi ndo hookеr
tena nagwara nikidara nina vikucha
hiki kichupa shika na kupa
na wanapenda ukipapia baba pupa
naishi nitakavyo ondoa vikwazo
ukiona najidai jua kujikopa ndo chanzo
nikishika ngiri natesa na majigambo
ju naona siku hizi ganji mnasafisha kwa mitambo
[chorus]
maisha ni yangu, wе shughulika na yako
napenda za kw~ngu, we shughulika na kwako
mi sipangwingwi, sipangwingwi
mi sipangwingwi, sipangwingwi
mi sipangwingwi, sipangwingwi
mi sipangwingwi, sipangwingwi
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu mizeb - 440 worte in 1 minute
- lirik lagu call (rock) - porcelain god
- lirik lagu k1ngcraz3 - lost in time
- lirik lagu steve harley & cockney rebel - saturday night at the fair
- lirik lagu big finny - mf livin' p2
- lirik lagu amaru (deu) - insert 11
- lirik lagu envenomed - clima subterraneo
- lirik lagu wonkavision - nanana
- lirik lagu bo$ x - couple hunnid
- lirik lagu lucinda williams - moonlight mile