lirik lagu ethic entertainment - instagram
aah aaah… aah aaah… aah aaah
aah ! yeah aaah
na sioni kosa msupa usitress
kama roho inaitisha basi unipee
najua we ni diva lazima ni spend
ata ka ni mita mi sita burgain
gain na sioni kosa msupa usitress
kama roho inaitisha basi uiipee
najua we ni diva lazima ni spend
ata ka ni mita mi sita burgain
[chorus]
gain basi pale instagram bey
vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm
pale instagram bey
vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm
yaani pale instagram bey
vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm
yaani pale instagram bey
vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm
naamkia niko insta
msupa, nakusuka na unadinda, dinda
vile diva wanachachisha, ita
hapa nadhani ntalalisha chumaaa
ona huyu ako dancefloor amebeba
ona huyu ako jaba na mavela
ona huyu kiunginyo nawakemba
mshike kiuno kwanza twende dada blunder
na sioni kosa msupa usitress
kama roho inaitisha basi unipee
najua we ni diva lazima ni spend
ata ka ni mita mi sita burgain
na sioni kosa msupa usitress
kama roho inaitisha basi unipee
najua we ni diva lazima ni spend
ata ka ni mita mi sita burgain
[chorus]
gain basi pale instagram bey
vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm
pale instagram bey
vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm
yaani pale instagram bey
vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm
yaani pale instagram bey
vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm
napenda sana hizo ma mmmhh mmmhh
unanilenga na umevai looku tu
unadai wifi keja na zuku tu
naku dm walai unadai nugu duu
ukipita ni ka wewe waacha juju
boychild asharausha dudu juu
sponsor asharausha jo dudu juu
naku dm walai unadai nugu duu
kemba toto ako fiti
shikisha njugu na njiti (shh ssh )
cheki bro washa shasha hadi moro (shh shh)
bila ticha akuna shule kuja daro (mmmhh mmmhh)
nyashnyash puff puff s(shh sshh) (mmmhh mmmhh)
orosho piga shothol kuna giza (shh shh)
zikinice tujinice uweke story(shh shh)
kata maji pia shada legalize
pale insta double tap
na sioni kosa msupa usitress
kama roho inaitisha basi unipee
najua we ni diva lazima ni spend
ata ka ni mita mi sita burgain
gain na sioni kosa msupa usitress
kama roho inaitisha basi uiipee
najua we ni diva lazima ni spend
ata ka ni mita mi sita burgain
[chorus]
gain basi pale instagram bey
vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm
pale instagram bey
vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm
yaani pale instagram bey
vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm
yaani pale instagram bey
vile napenda sana izo ma hmmhh hmmm
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu fource - lopen op de maan
- lirik lagu keo - the motto remix
- lirik lagu sway in the morning - i wish you would
- lirik lagu mike g - welcome2la
- lirik lagu the dutchess and the duke - living this life makes it hard
- lirik lagu nost3 - paska kesä
- lirik lagu the farsiders - an ode to the rope
- lirik lagu weiland - my type
- lirik lagu zayde wolf - gladiator (mono_kyo remix)
- lirik lagu b.o.b - don't let me fall