lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ethic entertainment - fyeka

Loading...

mmmh…(mmmh)
mmmh…(mmmh)
mmmh…(mmmh)
patos music
aaah, hapa bana ni ma knock~out ka fainali
na huw~nga huwa sibongi ka niko ndani
mi huwa bubu sana sana ka niko kazi
tayari wanadai ati me ni mfunny
na niko sure jo
wanafyeka akicheka aah
fyeka akicheka aah
fyeka akicheka aah
fyeka akicheka
na hapa bana ni ma…

chuma, chuma, chuma ilale ndani
chunguza kajaba chai ikibaki
nikidunga ndege juu ni khaki
cheki kina mercy sisi lucky
zungusha mahaga lefty righty
nacheki ma mini leo ni ku dirty
nimeshika zimerunda ni ku nasty
k~mejaa tu moshi na wanati
na hapa bana ni ma knock~out ka fainali
na huw~nga huwa sibongi ka niko ndani
mi huwa bubu sana sana ka niko kazi
tayari wanadai ati me ni mfunny
na niko sure jo
wanafyeka akicheka aah
fyeka akicheka aah
fyeka akicheka aah
fyeka akicheka
na hapa bana ni ma…
nipate ndani ya ghetto jo, kenya sihami
aaah mbby akizungusha mguze ndani kwa ndani
niko daro nimenyanya ifikie wazazi
si ati nishapiga chok, stori ya nyaru sitaki
twende dada, twende dada
chora saba aah~aah
twendе kaka, twende kaka
mguze ndani aah~aah
vilе anakatika boss, aah~aah aah
mguze ikus mmmh aah, aah~aah aah
na hapa bana ni ma knock~out ka fainali
na huw~nga huwa sibongi ka niko ndani
mi huwa bubu sana sana ka niko kazi
tayari wanadai ati me ni mfunny
na niko sure jo
wanafyeka akicheka aah
fyeka akicheka aah
fyeka akicheka aah
fyeka akicheka
na hapa bana ni ma…
fisi ni fisi hadi samantha anakunyandulia
mamoshi moshi puff pass me naunguza
akisleki pongi naingizanga punguza
na ka ni mtoto wa matiangi nitachunguza
niko riet, niko riam
niko liet, niko diang
sukwa tekwa, seswa tokwa
hakuna uber hii maiar, panda tuktuk
mwaga vibrate, tega kama tuktuk
na hapa bana ni ma knock~out ka fainali
na huw~nga huwa sibongi ka niko ndani
mi huwa bubu sana sana ka niko kazi
tayari wanadai ati me ni mfunny
na niko sure jo
wanafyeka akicheka aah
fyeka akicheka aah
fyeka akicheka aah
fyeka akicheka
na hapa bana ni ma knock~out ka fainali
na huw~nga huwa sibongi bana ka niko ndani
mi huwa bubu sana sana ka niko kazi
tayari wanadai ati me ni mfunny
na niko sure jo
ati wanafyeka nikicheka aah
fyeka akicheka aah
fyeka akicheka aah
fyeka akicheka
na hapa bana ni ma….


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...