lirik lagu ethic entertainment - daktari
(motif di don)
bazu bigman bazu
bazu bigman bazu
bazu bigman bazu
big bang bang bang bamboo
bazu bigman bazu
bazu bigman bazu
bazu bigman bazu
big bang bang bang bamboo
nimekucheki toka zamani
ju unataka nadhani
mi ndio hudunga kama daktari
nabaki ndani kwa ndani
eeeh ati kwa ndani
nabaki ndani kwa ndani
eeeh ati kwa ndani
nabaki ndani kwa ndani
eeh tunastep na tei inakam
tunaleft na fay anakam
ngonga sana tear itakam
na ata akikuja booster kisub
gonga gonga, gonga tukigonga
nyonyi pongi nyonyi ukiigonga
bonga bonga msupa haujanipea ndom
ukaambia afande mbele tukisonga
nimekucheki toka zamani
ju unataka nadhani
mi ndio hudunga kama daktari
nabaki ndani kwa ndani
eeeh ati kwa ndani
nabaki ndani kwa ndani
eeeh ati kwa ndani
nabaki ndani kwa ndani
naeza isha kwa hivyo itisha
tukiwashe kikichachisha
kuuguza hatuwezi ivisha
mbeibisha unanimaliza
washa rungu leo unichizishe
napenda mbu nitakufurisha
miezi tisa enda upimishe
kushibishwa k-mbe uliingizwa
nimekucheki toka zamani
ju unataka nadhani
mi ndio hudunga kama daktari
nabaki ndani kwa ndani
eeeh ati kwa ndani
nabaki ndani kwa ndani
eeeh ati kwa ndani
nabaki ndani kwa ndani
bazu bigman bazu
bazu bigman bazu
bazu bigman bazu
big bang bang bang bamboo
bazu bigman bazu
bazu bigman bazu
bazu bigman bazu
big bang bang bang bamboo
inajitoa choche
inashuka inajipata kunyi
zubaa tu ikaukie kwa fudhi
inajaa shimo unaeza ekwa ngumi
kujitepa hadi akili situmii
ninambao na mi humbao saa k-mi
mtaa huwa kuburn maudi
kujitepa hadi akili situmii
nimekucheki toka zamani
ju unataka nadhani
mi ndio hudunga kama daktari
nabaki ndani kwa ndani
eeeh ati kwa ndani
nabaki ndani kwa ndani
eeeh ati kwa ndani
nabaki ndani kwa ndani
bazu bigman bazu
bazu bigman bazu
bazu bigman bazu
big bang bang bang bamboo
bazu bigman bazu
bazu bigman bazu
bazu bigman bazu
big bang bang bang bamboo
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu lil savvy - nba
- lirik lagu químico ultra mega - dame luz
- lirik lagu begin house - mec bizarre
- lirik lagu chancho en piedra - completada techno
- lirik lagu ye banished privateers - flintlock
- lirik lagu tami neilson - tell me that you love me
- lirik lagu imen es - 1ère fois
- lirik lagu leftöver crack - the christ
- lirik lagu carly pearce - woman down
- lirik lagu janet jackson - made for now (benny benassi x canova remix)