lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu esirr - ukweli nation

Loading...

ntazidi kusema ukweli mpaka nikate roho
najua hampendi kuskia ukweli so nitasema na nguvu nipewe kipaza niwapashe niwaboo

yeah hiii ni ukweli nation chama wanachuga

uchumi ndio inafanya napotea
nkipotea nkikosea serikali haitambui
ni adui
usiku hatulali macho rui kazi noma
hamna noma staki nsake vumba na machete

uchumi ndio inafanya napotea
nkipotea nkikosea serikali haitambui
ni adui
usiku hatulali macho rui kazi noma
hamna noma staki nsake vumba na machete

usnipe mia mia nkupe kura nipe elimu
ama unipe jembe na mbegu nilime
napita naona vijana wako bezi hamna kazi
inabidi wazubae na matembe
barabara ina mapengo kiongozi na mapombe ushuru tunalipa tunatiwa shule
tunaga wasemi mavijana tumetupwa cheki mavijana tumekaa takataka
wahenga nakuaga na haraka damu inachemka mwendo pole ndio kusema nini
sinaga marafiki walioko familia kw~ngu ni mandugu kwenu ndio mateja
sitaki politic ninataka leadership kura yangu sipeani kwa shillingi
wafrika tuko chini hawa wazungu na madini ni kigari gari wanatuendesha
siamini kuna kifo ukifa ni dunia ingine umeingia binadamu toa presha
ndoto kama nyuki weka ua karibisha nyuki huezi pata asali bila ua utakesha
uchumi ndio inafanya napotea
nkipotea nkikosea serikali haitambui
ni adui
usiku hatulali macho rui kazi noma
hamna noma staki nsake vumba na machete

uchumi ndio inafanya napotea
nkipotea nkikosea serikali haitambui
ni adui
usiku hatulali macho rui kazi noma
hamna noma staki nsake vumba na machete

akili mateka yangu huezi teka ukidanganya nitajua utaona ninacheka
wengi wanakera ukinikera nakusepa nakuondokea nakukataaa
sipendi mabalaa nani asiejua mnapenda wananchi inapokaribia kura
vitu ninabonga wanasema nala gura
sili gura ufisadi umefanya niwe juha
kweli unanijua mi skujui hamnijui haunijui msema kweli anabaniwa mi nmetoka ukweli nation “chama gani hicho” chama cha wakweli tunapenda bonga kweli
hatupendi ukabila kama kesi tunakwenda
nalo afande hapewi chai utakula za ushuru
hii ni ukweli nation chama wanachuga
niko chugalize ninataka vumba

yeah

ntazidi kusema ukweli mpaka nikate roho
najua hampendi kuskia ukweli so nitasema na nguvu nipewe kipaza niwapashe niwaboo
aint another man esir kwenye beat
hii ni ukweli nation chama wanachuga

uchumi ndio inafanya napotea
nkipotea nkikosea serikali haitambui
ni adui
usiku hatulali macho rui kazi noma
hamna noma staki nsake vumba na machete


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...