lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ephraim sekeleti - ndaniyajina

Loading...

na nguvu zako zipo dunia yote, walemavu hutembea
na nguvu zako zipo dunia yote, na magonjwa yanapona
pale msalabani uliposulubiwa, ulibeba magonjwa yote.

ndani ya jina, na damu yako, ipo nguvu ooh×2
iponyayooo ooh
onaa baba, watoto wako bwana
mkono wako baba sio mfupi hapana
tumekandamizwa vya kutosha mambo,
shetani anatuibia uponyaji wetu ooh! ooh!
(ndani ya jina)ndani ya jina na damu yako ipo nguvu ooh×2
iponyayooo

ooh! lina nguvu jina lako bwana×15


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...