lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu enock mjwahuzi - si wa mauti

Loading...

lazaro alipoumwa ndugu zake wakatuma ujumbe kwa yesu
lazaro alipougua aa ndugu zake wakatuma ujumbe kwa yesu
ili wampee habari ya kwamba rafiki yake anaumwaaa

ujumbe ulipofikaaa kwa yesu, yesu alisemaa
ugonjwa huu si wa mauti
bali ni kwa utukufu wa mungu
yesu alipofika akakuta lazaro, ameshakufa, ana siku nne
wakamwambia kwamba ananuka, ameshakufa ana siku nne
kwakuwa yesu alishasema aa
kwamba ugonjwa waake si wa mauti
alimfufua lazaro, akawa mzima, akatembea
maana ugonjwa wake haukuwa wa mauti
bali mungu ajitukuzee
na kwako mpendwa

ugonjwa wako si wa mauti
baali
bali ni kwa utukufu wake baba
matatizo yako oo
matatizo yako si ya kuua
bali eeeh
bali ni kwa utukufu wake baba
shida zako
shida zako si za mauti
baaali eeh
bali ni kwa utukufu wake baba

na wewe ndugu yangu, unayesumbuka na magonjwa
na wewe rafiki yangu, unayepitia kwenye shida
unapitia nini sijui, ni njaa sijui, umasikini sijui
au ni mateso mbalimbali mimi sijui ndugu yangu
yesu anasema si ya mauti
baba anasema si ya kukuua
ooh bali ajitukuze yeye
ooh bali aonyeshe utukufu wake
ooh bali ajitukuze baba
ooh bali aonyeshe utukufu wake
yesu anasema si ya mauti
baba anasema si ya kukuua
maana ugonjwa wako ooo

ugonjwa wako si wa mauti
baali
bali ni kwa utukufu wake baba
hata waseme unanuka
matatizo yako si ya kuua
bali eeeh
bali ni kwa utukufu wake baba
utafufuliwa tena
shida zako si za mauti
baaali eeh
bali ni kwa utukufu wake baba
hayo magonjwa yako
ugonjwa wako si wa mauti
baali iii
bali ni kwa utukufu wake baba
matatizo yako oo
matatizo yako si ya kuua
hautakufa baliii
bali ni kwa utukufu wake baba
shida zako mama, eeeh
shida zako si za mauti
hazitakua baliii
bali ni kwa utukufu wake baba
eeeh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...