lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu emmanuel ngula ft bambili - songa mukando

Loading...

ola oooweee wima kama komando
leo stressi nasema songa mukando
sasa mbona nikondee sababu ya mawazoo
leo stressi nikuone songa mukando

unakosa raha
ju ya hela
na tajiri ~n~lia ju hana raha
niko masaa
with my life
maisha yanasonga tu kama saa
we living always
kuna siku itajipa usiworry
usikonde
hauko peke yako tuko wote

unakosa raha
ju ya hela
na tajiri ~n~lia juu hana raha
niko masaa
with my life
maisha yanasonga tu kama saa

ola oooh we wima kama komando leo stressi nasema songa mukando
saaa mbona nikonde sababu ya mawazo
leo stressi nikome songa mukando
acha iweeee 4times
maisha waza raha zako sio shida zako
mpendwa washanje
fanya kile upendacho kile utakacho
mpendwa washanje
acha nipambane
niloook for money
maneno na chuki zao,dondosha
uh eh eh eh eh uh eh eh eh eh eh

ola ooohwee wima kama komando
leo stressi nasema songa mukando
saa mbona nikondee sababu ya mawazo
leo stressi nikome songa mukando


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...