lirik lagu ematalent tz - mnaringia nini singeli
aaaah talent apa
aaaah na nikiwa monster
record sasa aaah nipigie
vinanda mwanaume eeeh
huzimi fire mimi talent
naapia aaah
mimi kidume mwenye
level nakwambia aaah
leo nasafisha njia nawana
wanakamia aaah
afu kila mchongo nawana wanakamia utaaminia aaah
naanza nama bishoo wa mjini iiih
wanaopenda sana chini iiih
wao kupiga uno ndio kazi tu wanazo jua sijui wanaringia nini…
simna magari mnaongwa sana
tena kitani mnavimba sana
simna magari mnaongwa sana
tena kitani mnavimba sana
sijui mnaringia nini
ex~w~ngu alinitema aaah
alipofika chuoni tu uuuh
baadhi ya masela wakakacha
walipo fika chuoni tu uuuh
ex~w~ngu alinitema aaah
alipofika chuoni tu uuuh
baadhi ya masela wakakacha
walipo fika chuoni tu uuh
sasa nyie wanachuo na miogo mnayo kula aaah
sijui mnaringia nini kila
day mwashindia tu miogo sijui mnaringia nini
sasa nyie wanachuo na miogo mnayo kula aaah
sijui mnaringia nini kila
day mwashindia tu miogo sijui mnaringia nini
baadhi ya makonda niwabishi nakuna walinzi
wana wazidi mabosi kwa ubishi iiih….
unanunua kitu kwa ela yako
namu uzaji anakuvimbia
sijui anaringia nini
mpenzi wako si bhana tunamtanbua aaah
anao lukanao situna wajua aaah
nawatu wote jama tunawatambua aaah
tuna kaa kimya kwa sababu haya tuhusu sasa unaringia nini…
fanya kama ujaniona wepita
mbele pembeni tu kuna kona aaah
fanya kama ujaniona minikiumwa mwezako mimi napona aaah
fanya kama ujaniona wepita
mbele pembeni tu kuna kona aaah
fanya kama ujaniona minikiumwa mwezako mimi napona aaah
mtu akisha jua unampenda walai ata kuzingua aaaah
we atafanya jambo ~n~lo jua
aaaah nakichwa kukupasua aaaah
mtu akisha jua unampenda walai ata kuzingua aaaah
we atafanya jambo ~n~lo jua
aaaah nakichwa kukupasua aaaah
kama mpiga picha hakuna kitu utamfanya
zaidi sana utabaki unajichatisha aaaah aaaah
manurse nao mtu hurumie maisha bado hamja yapatia
manurse nao mtu hurumie eeeh
maisha bado hamja yapatia
sijui mnaringia…nini
nilikuwa najua waimba singeli wana mtonyo
we wakipost mapicha makali
tena kwa mbali nawa nyoshea mikono we k~mbe
wako hoi chali
nilikuwa najua waimba singeli wana mtonyo
we wakipost mapicha makali
tena kwa mbali nawa nyoshea mikono we k~mbe
wako hoi chali
fanya kama ujaniona wepita
mbele pembeni tu kuna kona aaah
fanya kama ujaniona
minikiumwa mwenzako mimi napona aaah
fanya kama ujaniona wepita mbele pembeni tu kuna kona
aaah
fanya kama ujaniona
minikiumwa mwenzako mimi napona aaah aaaah
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu maer - sister
- lirik lagu saboteur records - 3.14 ville
- lirik lagu igor - s1
- lirik lagu lupin (fr) - automne
- lirik lagu jim jones & hitmaka - gunshot
- lirik lagu brayjamin - pls & ty
- lirik lagu die form - psychic poison 3 (mental terror mix)
- lirik lagu keegan powell - in kincardine
- lirik lagu shawn desman - maniac
- lirik lagu kilezzz - se parece a mí