lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ematalent tz - kidude singeli

Loading...

juni monster
lalaaaa laaaaa aaaah
lalaaaa laaaaa aaaah
mto mtoto wa peter
ahh talent hapaa
i never come back

ohh jamani nimeokotaa,nimeokota kidude
ohh jamani nimeokotaa,sikirudishi kidude
ohh jamani nimeokotaa,nimeokota kidudee
ohh jamani nimeokotaa,sikirudishi kidudee
acha nitoke nacho mie,acha nivimbe nacho miee
acha nitoke nacho mie,acha nivimbe nacho mieeeeeeeeh
unakisura cha upole kama mama yanguu
mwali umefunzwa mkolee na mama yakooo
unakisura cha upole kama mama yanguu
mwali umefunzwa mkolee na mama yakooo
kama mapenzi yako safari,mi nimefikaa tuu
basi mama mama nidekezee,kama mtoto mi nitadeka tuu
nausiwe kitunguu machoni mw~ngu ukafanya nikaliaa
if you leave me alone, if you leave me alone
if you leave me alonе, mama nita die
na kama utanipenda mama nitajidaii
if you leavе me alone, if you leave me alone
if you leave me alone, we mama nita die
na kama utanipenda wallah nitajidaii

ohh jamani nimeokotaa,nimeokota kidude
ohh jamani nimeokotaa,sikirudishi kidude
ohh jamani nimeokotaa,nimeokota kidudee
ohh jamani nimeokotaa,sikirudishi kidudee
acha nitoke nacho mie,acha nivimbe nacho miee
acha nitoke nacho mie,acha nivimbe nacho mieeeeeeeeh

mara ya kwanza kukupata,naona taarifa maalum
umenikamataa na hata sijilaumuu
ila dah mwanzo nusu ninywe sumu
msalaba ukaubeba stizo awe huruu
ila tangu niokote kidude naenjoy tu kama mtoto
kulishwa na vishwa naogeshwa mi sina changa moto
miee
ila tangu niokote kidude naenjoy tu kama mtoto
kama kuitwa king’asti poa tu mbona haina changamoto
oooohhoo
yaani we nitamu tamu hashuki utamu wa kiindii
ngoma bam bam nilipo sasa ndio nafaidi
masham sham niongezee ikibidiii
pam pam na wenye sura za hivuuuuu
if you leave me alone, i never come back
if you leave me alone,kamwe sigeuki nyumaa eh
if you leave me alone,ahaa stizo hapaaa
na kama ukinipenda wallah nitajidaii
msalimie mwinyi jizo mwenye library
ahh wapelekee sasa

na shape kama wa njara inaitwaje ngongingo
na shape ya masha love inaitwaje wowowowo
na shape ya wema sepetu inaitwajee ngongingo
na shape ya juma lokole inaitwajee wowowwowo
haya kila mtu anioneshe shape yake kila mtuu
haya kila mtu anioneshe shape yake kila mtuu
haya kila mtu anioneshe shape yake kila mtuu
unaambiwa kuku mgeni kakosa kamba mguuni
kavalishwa shanga kalijua jiji sasa hivi anadanga
ahaa waoneshe sasa

chamazi music record label


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...