lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ematalent tz - dear x

Loading...

aaah oooh oooh oooh aaah
ahh talent
nasema x w~ngu ulinikimbiaaa uliniona kolo oooh
nasema x w~ngu ulinikimbia ukaniona poyoyo oooh

nasema x w~ngu ulinikimbia uliniona kolo oooh
nasema x w~ngu ulinikimbia ukaniona poyoyo oooh

x nenda salama nimepata mwingine anaenijulia aaah
ananipa nyama na mifupa we mbali anaitupia aaah
x nenda salama nimepata mwingine anaenijulia aaah
ananipa vitam na vichungu we mbali anavitupia aaah
misina shobo naukileta shobo na kublocki
tena kabisa n~z~ma mie
oooh jamani nakublocki
tena kabisa n~z~ma mie eeeh
sindo wewe nilio kulazimisha
ukaniona kolo matusi kunizalilisha aaaah
sindo wewe nilio kulazimisha
ukaniona kolo matusi kunizalilisha aaaah

nasema x w~ngu ulinikimbia.. uliniona kolo oooh
nasema x w~ngu ulinikimbia ukaniona poyoyo oooh
nasema x w~ngu ulinikimbia.. uliniona kolo oooh
nasema x w~ngu ulinikimbia ukaniona poyoyoooh

we kila kitu changu nilikupatia aaah
lakini ukujali mabwana ukaniletea aaah..
we kila kitu changu nilikupatia aaah
lakini ukujali mabwana ukaniletea aaah

nakwama shoga zako ulitamba eti niko hoi
eti ulikamata kabisa misiko hoi…
nilikupa vyote lakini ulijiona keki
mwanamke gani jamani usaminiki iiih….

sindo wewe ulikuwa unanipa tabu uuuh
umeshika adabu uuuh
hii dunia hadaha ulimwengu shujaa aaah
imеkufunza sasa unalia njaa aaah
nimempata w~ngu kisura na anaejua mapenzi
mtoto nga’ri ng’ari kitandani mwеpesi
ana chuchu dede na ndani zimesimamia
na mimi si subiri kitandani namkazia aaah
mwanaume mandigo wala sina kibamia aaaah
x w~ngu utajijua aaah
achakunisumbua aaah
x w~ngu utajijua aaah
acha kunisumbua aaah

na kama una x anakukubali
naingia kati tucheze….
na kama una x anakuzingua
naingia kati turuke
ingia kati tuche tuche we tuchezee
ingia kati turu turu we turukeee
ingia kati tuche tuche we tuchezee
ingia kati turu turu we turukeee
we kinyume nyume ukienda mbele hainogii
we kinyume nyume uku una shake body
we kinyume nyume ukienda mbele hainogii
we kinyume nyume uku una shake body
ahh talent hapa nikiwa sambamba na mushizo
utawauwaa wewe


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...