lirik lagu elsy wameyo - sulwe
chorus
biine sulwe
urembo hauwezi kupunguza
na tena hawataweza
wengi hayawezi kuelewa
verse
kweli anapendeza
yote anaweza
mi ninakupenda
malaika wa africa
ineno sulwe
oterwa manyalo konyowa
be inyalo neno sulwe
nitie kuom gite sulwe
pre chorus
siaamini ni wewe
kweli ni we
nikupee chochote
unipende
siaamini ni wewe
kweli ni we
nikupee chochote
unipende
chorus
biine sulwe
urembo hauwezi kupunguza
na tena hawataweza
wengi hayawezi
biine sulwe
urembo hauwezi kupunguza
tena hawataweza
wengi hayawezi kuelewa
verse 2
ineno sulwe
oterwa manyalo konyowa
be inyalo neno sulwe
nitie kuom gite sulwe
pre chorus
siaamini ni wewe
kweli ni we
nikupe chochote
unipende
siaamini ni wewe
kweli ni we
nikupe chochote
unipende
bridge
aye aye (aye)
aye aye (aye)
aye aye (mama)
aye africa
aye aye (aye)
aye aye (aye)
aye aye (mama)
aye africa
chorus
biine sulwe
urembo hauwezi kupunguza
na tena hawataweza
wengi hayawezi kuelewa
biine sulwe
urembo hauwezi kupunguza
tena hawataweza
wengi hayawezi kuelewa
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu wynton marsalis - everybody wear they mask
- lirik lagu lil clipz - trails of blood
- lirik lagu wolf (band) - make friends with your nightmares
- lirik lagu rvmzes - ретро (retro)
- lirik lagu eyeluvoscar - call me by my name
- lirik lagu stinky poop records - katowice city nights (ft. the weeknd & nas)
- lirik lagu bettina wegner - vielleicht für die kollegen musiker
- lirik lagu das w - yeeeeeah
- lirik lagu oh my girl x ul - 사랑 속도 (love speed)
- lirik lagu ассаи (assai) - эвн (eif)