lirik lagu el klassik band - kasongo
“kasongo” is a fiery and unapologetic kalpop anthem that takes aim at political oppression, corruption, and social injustice. with its infectious rhythm, catchy hooks, and hard~hitting lyrics, the track blends the powerful storytelling of afrobeat with the rebellious energy of sebene~infused kalpop
el klassik band, alongside don santo (@kingdonsanto) and sleek whizz (@sleekwhizz), delivers a bold critique of leadership failures, addressing issues like economic inequality, youth disenfranchis~m~nt, and systemic corruption. sung in a vibrant mix of swahili, sheng, and lingala, “kasongo” captures the pulse of a rеstless generation dеmanding change
the track’s compelling blend of satire, resilience, and cultural pride makes it both a protest anthem and a celebration of the indomitable spirit of the people. with lines like “kenya sio shamba la bibi yako!” and “nyota zetu un~z~ma kwa risasi,” the song becomes a rallying cry for justice and accountability, proving once again that el klassik band is not just making music—they’re starting movements
get ready to chant, dance, and reflect as “kasongo” spreads its powerful “#bandemic” vibes across borders!
produced by: @blameitondon
record label: klassik nation @klassiknation
the lyrics:
bpm: 109
[verse 1: don santo]
kasongo yeye, iye!
bwana wa kusema bila kutenda, oya président na ngai
kasongo wewe, iye! yeah iye!
lakini matendo yako ni ngano za kusimuliwa kwa hofu
umejawa uongo, hata hatukuhofu
kichwa nacho ujeuri, hata kwa madhabahu
watoto nchi wanapotea bila sababu
wengine wana majeraha ya roho na mwili
[pre~chorus]
nyota
za vijana zimezimwa kwa risasi
huku wazazi ni stressi
tunasema you must go
mchaka mchaka!
[chorus]
kasongo! kasongo! kasongo!
kenya sio shamba la bibi yako!
kenya sio makalio yako!
kasongo! kasongo! kasongo!
sisi tutakuaibisha bonzo!
na tena hatuogopi kifo!
[verse 2: sleek whizz]
mwenzako sina hela
mwenzako kateseka
huku najengewa
kwengine ninabomolewa
sina pa kulala, mwenzako naibiwa mchana!
natamani kulewa lakini mf~ko ni hewa
mr. kasongo, unapenda uongo! x 2
it’s the way that you lie, lie bila haya
hakuna kazi, waheshimiwa hawafanyi kazi! (mr. kasongo, unapenda uongo!)
wafanyikazi, na wengi hawaoni ganji
[chorus]
kasongo! kasongo! kasongo!
oh, batoto ba klassik
kasongo! kasongo! kasongo!
[verse 3: don santo]
na kalpop oyo, tozongisa makoki ya mboka, ee!
(with this kalpop, we are reclaiming the rights of our nation!)
oyé kasongo, na bozalí ya lokuta, kasí mbóka ezali ya bato!
(oh kasongo, with your lies, but the country belongs to the people!)
boíndima te! soki tokolɛla, tokolɛla na ndéngé!
(don’t accept this! if we cry, we cry with style!)
kasongo! kasongo! kasongo!
kasongo, bolingo té!
(kasongo, no love!)
kenya sio shama la bibi yako, yoyoyo!
kasongo! kasongo! kasongo!
[pre~chorus]
buana
nyota zetu un~z~ma kwa risasi
huku wazazi ni stressi
tunasema you must go
mchaka mchaka!
[chorus]
kasongo! kasongo! kasongo!
kenya sio shamba la bibi yako! yeah
kenya sio matako yako, baba!
kasongo! kasongo! kasongo!
tututu!
chaka ah ah! chiki ah ah!
bana ba klassik, banapendaga kalpop!”
(klassikans love kalpop!)
and that’s kalpop!”
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu yona (ger) - huebi kriegt auf die ruebi
- lirik lagu owen coleman - tomorrow
- lirik lagu sockeye - sexual retard
- lirik lagu basedretardgang - b1. thats on me
- lirik lagu majtnc - without you
- lirik lagu john lipari - welcome to our world
- lirik lagu overlöded - clean up my act
- lirik lagu nikiplugg! - вампир guitar remix (vampire)
- lirik lagu pt on the beat - ya no quiero
- lirik lagu tiana khasi - good as it gets