lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu edward's okoth bryan (ethan muziki) - niangalie

Loading...

aah
aah
aah
aah (mmh, mmh)

[verse 1] [kethan & wanavokali]
kuna wenye vitabu
kuna wenye hesabu
wengine tulibarikiwa sauti na kalamu
ninavyojijua, huwa napenda hadi mwisho
kwa yale machache najivunia
moja ni kukuita w~ngu, ooh~ooh

wengi walifanya nikadhani sitawahi kupenda
ila wewe umenionyesha, ninaweza kupendwa
na wengi wakasema eti sitawahi weza kuweza
ona vile tunaishi hii life bila pressure

[pre~chorus] [wanavokali]
kama unataka, penzi lisiloisha
niangalie, niangalie
mi ninapo~kuona, naona maisha
niangalie, niangalie

[chorus] [kethan & wanavokali]
nia~ nia~, nia~ nia~
niangalie, niangalie
nia~ nia~, nia~ nia~
niangalie, niangalie (niangalie)
[verse 2] [kethan & wanavokali]
we wa thamani kuliko shaba
ningetamani nikuite lover
hakuna jambo linaloweza
kunitеnganisha na penzi lako
unachotaka umekipata
utapokwenda nitakufuata
i will always bе yours
you will always be mine
till the end of time

[bridge] [wanavokali]
na~aah~aah~aah~aah, nakupenda
na~aah~aah~aah~aah, nakupenda

[pre~chorus] [kethan & wanavokali]
kama unataka penzi lisiloisha
niangalie, niangalie
mi ninapo~kuona, naona maisha
niangalie, niangalie

[chorus] [wanavokali]
nia~, nia~ (aah~aah~aah~aah)
ooh niangalie, niangalie
nia~, nia~, ooh (nia~ nia~, aah~aah~aah~aah)
niangalie (aah, nakupenda)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...