lirik lagu eddy bleyz - uongo
[intro]
eddy bleyz
music instrumental playing…
[verse 1]
hii safari ya mapenzi
haihitaji masihara
jamani twendeni course
imefikia pahala
hii safari ya mapenzi
imejawa na simanzi
kutwa sura makunyanzi
ni mawazo… mmmhh!
eti best nasikia… umeachwa?
sababu huna pesa?
ya nini kuumiza moyo?
we tafuta pesa
ukizipata ..
walah utatesa
no money, no love
wanasema watakutoa roho!
[bridge 1]
yamewatesa wengi
ona wamebaki dilemma
bora nisake shilingi
penzi nipishe
kw~ngu koma!
yamewatesa wengi
ona wamebaki dilemma
bora nisake shilingi
penzi nipishe
kw~ngu koma!
[chorus] (x2)
aaaah, mapenzi
uongo!
uongo!
uongo!
mkweli pesa tu!
mchongo…
mchongo…
ananipa michongo!
[bridge 2]
wanasema pesa makaratasi
kama kuzichanga changa ipo nafasi
sio wajilaza unasoma radar
dili zikitiki kwetu, unaanza visa
music instrumental playing…
[verse 2]
utawakuta ig wanachat
tiktok, snapchat
wanakesha kujisnap
waongo hao!
mapenzi ya leo
bila pesa utaumiza moyo
hawatojali una cheo
zikikauka wanakuweka kando
mapenzi ya leo oooh! (leo oooh!)
hawatojali una cheo
zikikauka wanakuweka kando
mwenzenu siyawazi
moyo nishautia ganzi
siyataki mapenzi
nimesahau machozi
mwenzenu siyawazi
moyo nishautia ganzi
siyataki mapenzi
nimesahau machozi
[bridge 1 – repeat]
mmmhh…
yamewatesa wengi
ona wamebaki dilemma
bora nisake shilingi
penzi nipishe
kw~ngu koma!
yamewatesa wengi
ona wamebaki dilemma
bora nisake shilingi
penzi nipishe
kw~ngu koma!
[chorus] (x2)
aaaah, mapenzi
uongo!
uongo!
uongo!
mkweli pesa tu!
mchongo…
mchongo…
ananipa michongo!
[bridge 2 – repeat]
wanasema pesa makaratasi
kama kuzichanga changa iko nafasi
sio wajilaza unasoma radar
dili zikitiki kwetu, unaanza visa
music instrumental playing…
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu will stewart - til we hear the radio
- lirik lagu naity - se hace tarde
- lirik lagu g la sosita - come 4 yuuh
- lirik lagu stone cold fox - american
- lirik lagu ilkatak - karanlık (piyano ver.)
- lirik lagu cheshire (rus) - копия копий (copy of a copy)
- lirik lagu buried emotions - fangs!
- lirik lagu deine cousine - königin von deutschland
- lirik lagu luvintage & smiso shezi - abombali
- lirik lagu juseph - party glamoüroso