lirik lagu ebebé jamal - njaa
wanasema tuna njaaa…
sio kweli
wanasema wanasema tuna njaa..
sio kweli
wanasema wanasema tuna njaa…
sio kweli
wanasema tuna njaaa…
sio kweli
wanasema wanasema tuna njaa…
sio kweli
wanasema wanasema tuna njaa…
sio kweli
wanasema wanasema tuna njaa…
sio kweli
vijana hawapigi kazi
wakipata wanaza mavazi
vizazi mpaka vizazi…
unatuaribu utandawazi…
mtaani wanabweteka facebook,insta zimewateka…
hekari juu ya hekari za shamba zinateketea ….ahh
atuoni soo.suruali chini ya makalio
binti anatafuta umaarufu viungo wazi wazazi vilio…
mf~koni hakuna salio
vyuma havilainiki tunajutia huu ujio
hapa kazi tu
ukibisha sema suu
muda si mrefu utauza baiskeli utembee kwa miguu…
mwanafunzi heshimu boom
baba mkopo usihujumu…
nyumba itapigwa mnada utafute nani wa k~mlaumu….
mmh..! mh..!mmhh….mhh…
wanasema tuna njaaa…
sio kweli
wanasema wanasema tuna njaa..
sio kweli
wanasema wanasema tuna njaa…
sio kweli
wanasema tuna njaaa…
sio kweli
wanasema wanasema tuna njaa…
sio kweli
wanasema wanasema tuna njaa…
sio kweli
wanasema wanasema tuna njaa…
sio kweli
stuka amka wake up
weka fuba la kutosha kwa mkeka
lia vumilia kesho unacheka
wengine wanapatana wengine wana break up
wake up. wash up. rise up and shine bright oh yeah
pambana mdogo mdogo tu utasogea
wengine wako single wengine wako pair
kila time napigika maisha hayako fair
maisha ya kiswazi mswaki tunashare
ndala kitu gani peku natembea
tangu chekechea tunajitegemea
ila hatukati tamaa. siwezi kulala njaa
bila mabawa napaa
baraka nyingi from jah
ukiniona kama kichaa piga picha
kesho am the reachest still young
siwezi kuacha mishe mishe ni addiction!
siwezi kuacha mishe mishe ni addiction!
wanasema tuna njaaa…
sio kweli
wanasema wanasema tuna njaa..
sio kweli
wanasema wanasema tuna njaa…
sio kweli
wanasema tuna njaaa…
sio kweli
wanasema wanasema tuna njaa…
sio kweli
wanasema wanasema tuna njaa…
sio kweli
wanasema wanasema tuna njaa…
sio kweli
sio kweli
sio kweli
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu kthechosen - mama (mahaters awanda mazuwa ano)
- lirik lagu neida aleida - lubuk bicara
- lirik lagu saca - put on a show
- lirik lagu 17 memphis - logic
- lirik lagu neny - rover
- lirik lagu ostan stars - puthiya naalukul ennai naduthum
- lirik lagu michael jackson - she’s out of my life (original demo)
- lirik lagu vedji - doesn't matter
- lirik lagu ceci juno - entre mis venas
- lirik lagu madame monsieur - petit d'homme