lirik lagu ebebé jamal - juu
mmh…!
i feel blessed
blessed
i feel blessed…heal
mmh…!
mmh…!
anifae kwa hali
hawezi niacha mbali
kokote niendapo yeye ndio amenipa kibali
najiona juu
“juu”
najiona juu
“juu”
najiona juu
“juu”
najiona juu
“juu”
anifae kwa hali
hawezi niacha mbali
kokote niendapo yeye ndio amenipa kibali
najiona juu
“juu”
najiona juu
“juu”
najiona juu
“juu”
najiona juu
“juu”
najiona juu
ndio maana nipo full
ukinicheki usoni macho tayari ya blue
na mood ipo full kama nimekunywa redbull
mpaka hautofautishi kati ya ebebé na abdul
kila siku breaking news
na sijawai kuloose
kwenye list ya do do do and do
kw~ngu hakunaga upuuzi
wanangu wanapendaga kuniita mzee wa michuzi
junior, beka flavor, dj mw~nga breaking news
nalegezaga fuse
mpaka wanajiconfuse
haunikosi kwenye top 10 kila wanapoperuzi
wanangu wanamizuka huwa nawaita my goons
hauingii kwеnye my house party kama suijakuchoose
utaishia mlangoni ndani hatutaki upuuzi
wanangu huwеzi wagusa kila mmoja ana maujuzi
w~ngangu huwezi wagusa wanachezaga kung fu
wanangu ni mbwa mwitu huwa wanabweka woo huu…!
anifae kwa hali
hawezi niacha mbali
kokote niendapo yeye ndio amenipa kibali
najiona juu
“juu”
najiona juu
“juu”
najiona juu
“juu”
najiona juu
“juu”
anifae kwa hali
hawezi niacha mbali
kokote niendapo yeye ndio amenipa kibali
najiona juu
“juu”
najiona juu
“juu”
najiona juu
“juu”
najiona juu
“juu”
flow kali zinang’ata bila meno
waachie waingie mtaani wanangu mliowafungia cello
mitaa imewamiss wakirudi akili itasettle
tandale, ukonga, keko ngumi mkononi sio beto
pongezi kwa wahitimu ya degree kutoka ghetto
ubaya kwetu mbolea tuchukie tucheze eko
ubaya more fire na tunayajua mateso
bora tuishi kwa amani kwani hakuna ajuaye kesho
na usijikute special
kaka futa izo level
weka ubani weka jamvi tukamlani uyo devil
unang’atia magego chawa pro baba level
wanangu hawakai bure wan~z~saka izo peso
wanangu wanafuta jasho na mif~koni hawana leso
wanagu sio wanao na huwa hawatembei peku
hatuchezagi rough na umoja ndio ngao yetu
tupe mechi kitu kimiyani huwa tunacheza eko
anifae kwa hali
hawezi niacha mbali
kokote niendapo yeye ndio amenipa kibali
najiona juu
“juu”
najiona juu
“juu”
najiona juu
“juu”
najiona juu
“juu”
anifae kwa hali
hawezi niacha mbali
kokote niendapo yeye ndio amenipa kibali
najiona juu
“juu”
najiona juu
“juu”
najiona juu
“juu”
najiona juu
“juu”
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu deer creek boys - airmail special
- lirik lagu zara rosaline - main character
- lirik lagu joven certero - líder trap ii
- lirik lagu jom cruise - kung pwede
- lirik lagu nick kopel - campfire
- lirik lagu gigi hương giang - chỉ muốn bên anh lúc này (live at wow sunset show)
- lirik lagu jean mango - can you feel
- lirik lagu 李艺彤 (li yitong) - 就差一点点 (jiu cha yi diandian)
- lirik lagu adrianne lenker & buck meek - the last time i saw paul
- lirik lagu breaking grass - annie