
lirik lagu east african melody - paka mapepe
pakamapepe huyo
pakamapepe huyo
pakamapepe huyo
paka mapepe usimwandame
mapepe huyo
usimwache akujue mapepe huyo
yeye hamjue mume
mapepe huyo
mwenye fedha kwake ndume
mapepe huyo
paka mapepe usimwandame
mapepe huyo
usimwache akujue mapepe huyo
yeye hamjue mume
mapepе huyo
mwenye fedha kwakе ndume
mapepe huyo
akinenda msuk~me
tena asikusagame
mkomeshe akukome
abaki alalame
mabibi mimi niko
siku zote mume wako
hamtoi mtu kwako
fanya ufanyavyo fanya
umweke umwekavyo
nilikwisha kukukanya
huyo siwakuridhika
huyo atachanganya
huyo atachanganya
kina shangazi na kaka
tena akisha atapenya
tena kisha atapenya
na baba atamtaka
atafanya anakofanya
mwisho atakasirika
atafanya anakofanya
mwisho atakasirika
hafai huyo hafai
kw~ngu mimi nikurai
hafai huyo hafai
kw~ngu mimi nikurai
paka huyo paka paka mapepe paka
umpe kuku na bata mwisho hatatosheka
umpe jambo geni huyo paka
atakushukuru huyo paka
atakutoroka huyo paka
akimwona panya huyo paka
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu t.s the solution - i am
- lirik lagu givenchylocks - masquerade
- lirik lagu harlley - quem tu és?
- lirik lagu bruce springsteen - the klansman
- lirik lagu rosie lowe - mood to make love (the vernon spring remix)
- lirik lagu 2shanez - spits in face/leaves
- lirik lagu wifigawd - frontline souljahs
- lirik lagu 容祖兒 (joey yung) - 第一百個我 (the 100th me)
- lirik lagu tim graham - rudyard kipling - our fathers also
- lirik lagu milkboy (rapper) - heart