lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu e-star nebraskah & pettiz patosh - tumekuja ku-party

Loading...

chorus
e~star nebraskah

tumekuja ku~party (yeeeee)
tunapenda ku~party (yeeeee)
tumekuja ku~party
weka mikono keenye hewa (yeeeee)

verse 1
pettiz patosh

give a clap nipe show nipe ndoh
ni e~star na pettiz kwenye show
ndani ya mseto tu~naroll
ogopa djs tuna wa host
sijatoa tint ogopa dj nipe beats
hii ngoma ii heat
tumekaa juu sina taabu
masela wana~dance tu ajabu
kistaarabuu…u
niko kwenye mic, mie na jay z
kwenye kiti najitoza kwenye sanaa
tena na sibishi, sitafuti kick
masela nipe tiki ongeza volume
hii ngoma si mbichi
niko kwenye mapishi
kwenye club ni busy
tunadai kuzitoka hadi wabaki machizi
na bado nasikia kuna watu wanaitisha
hii ngoma imewadatisha
namba tisa nipe tisa
kwenyе hii ngoma basi mi nawakilisha
na nawashika kama doctor loliondo
ngoja basi nami nikupe uhondo
kwenye club ni party, itisha nitagary
tuko 10 ovеr 10 tunawasha narii…!!
chorus
e~star nebraskah

tumekuja ku~party (yeeeee)
tunapenda ku~party (yeeeee)
tumekuja ku~party
weka mikono keenye hewa (yeeeee)

verse 2
e~star nebraskah

tumekuja kwa vishindo
kuwapa burudani na mitindo
hali ni halisi amini usiamini
ninawapa thibitisho
niko na wadau msikonde
kwa sababu ya vitisho, wala kelele
za chura haya tu ni maadhimisho
bila kusema leo ni raha si mwajua
cheki vile wanadada wamevaa
ma~dress wanataka ku~impress
vitu tight kwa ma~chest, wanataka ku~compress
machali wanatensi wana~follow kama compass
change gear leo hii tuna waingia kama through pass
hatubaduki kimziki tumesimama kama fortress
pole pole tunawapita tukipiga ress
ogopa show tuko hepy tunaparty bila chuki
pewa moja mbili tatu tupa chupi
track inatubamba cheza bila chuki
vipi dada na dhani unanirada
leo niko nawe kama keeper
chini kwa chini juu kwa juu
side to side kila siku every side
twende……………….,,,,,,,,,,,,,……..!!
chorus
e~star nebraskah

tumekuja ku~party (yeeeee)
tunapenda ku~party (yeeeee)
tumekuja ku~party
weka mikono keenye hewa (yeeeee)

verse 3
e~star nebraskah

mabeshte..,,(eeeehh)
ma~sisty…..,,,(eeeehh)
ruka wika mwagika zunguka katika
na hii ngoma
tuende mbele tuende nyuma tukatike
na hii ngoma
tuende mbele na hii ngoma
tuende nyuma na hii ngoma
side to side big up every side
tukatike na hii ngoma…

chorus
e~star nebraskah

tumekuja ku~party (yeeeee)
tunapenda ku~party (yeeeee)
tumekuja ku~party
weka mikono keenye hewa (yeeeee)
e~star nebraskah & pettiz patosh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...