lirik lagu dully sykes - tuachie
[intro: dully sykes]
studio 4.12
(hey!)
dully sykes na yamoto
(?)
[verse 1: mbosso]
yeye tetere, wewe butege
wapi na wapi?
mchele, ‘nishautoa pumba, nafuta makapi
haishi kujisifia
huku anang’ata kucha
wewe amekukimbia kitambi kina mtisha
yeye ni wa kw~ngu
na makamo yangu mimi (sakalama)
anakuogopa (sakalama)
tukunyema (sakalama)
aaaah (sakalama)
yeah, yeah (sakalama)
mimi ananipenda (sakalama)
sana (sakalama)
mimi ananipenda (sakalama)
aaah…
[verse 2: enock bella]
tinga kiboya ukalicheze goma na watu wazima wenzako
hiki kidali cha watoto wala hakichezwi na suti zako
tinga kiboya ukalicheze goma na watu wazima wenzako
hiki kidali cha watoto wala hakichezwi na suti zako
we mbuyu we, mm
unajifanya mchicha, eh
we mbuyu we, tumekuchoka
kila siku kututisha
we mbuyu we, mm
unajifanya mchicha
we mbuyu we, tumekuchoka
kila siku kututisha
hilo sura baya
[pre~chorus: dully sykes]
mnanuka maziwa nyie madogo
mnataka kushindana na mimi
kwenye game, ‘mi kitambo, wana shobo niwaache kwanini?
oh, nyie mabwege
acheni kupiga kelele
wenyewe wameshoboka, kwa vyao viherehere
[chorus]
tuachie
tuachie
tuachie
wanatupenda wenyewe
oh, nyie mabwege
acheni kupiga kelele
wenyewe wameshoboka, kwa vyao viherehere
[verse 3: dully sykes]
umri wenu na mademu, havifanani
mtapotea kwenye game, muwe makini
oh, ngojera, ngonjera zipunguzeni
wana kopa hawalipi madeni
hawaishi kuranda kigengeni kw~ngu
wajanja kausheni
madogo kausheni
[verse 4: aslay]
ukimuona unakodoa, kodoa macho, ‘unakodoa
na vichenji unavitoa kwenye mf~ko, ’unavitoa
tatizo nyota babu we, babu we
ndicho wanacho kiogopa kwako we, kwako we
maliza maduka babu we, babu we
utafute ma vocha babu we, umpigie
ushindwe kulala kama pono (pono, pono, pono)
kusikiliza miguno (pono, pono, pono)
hapa hakuna kibamia (pono, pono, pono)
nilichorithi kwa baba muwa (pono, pono, pono)
umeishiwa
[verse 5]
kweli wewe ni jemedari, ila ‘kwenye muziki
kwa wake za watu ‘nakuomba punguza spidi
umri wako we, haufanani nami kabisa
ila’ chokoro, chokoro, utakuja kuanzisha vita
tabia yako we
itabidi kuirekebisha
kwenye vichochoro, chochoro
hebu chunga utakuja juta
si unajua huyu ni mpenzi w~ngu
acha kupiga misele
unaiba mahindi shambani kw~ngu, we ni jamii ya ngedere
ngedere, ngedere, we ni jamii ya ngedere
ngedere, ngedere, we ni jamii ya ngedere
[pre~chorus: dully sykes]
mnanuka maziwa nyie madogo
mnataka kushindana na mimi
kwenye game, ‘mi kitambo, wana shobo niwaache kwanini?
oh, nyie mabwege
acheni kupiga kelele
wenyewe wameshoboka, kwa vyao viherehere
[chorus]
tuachie
tuachie
tuachie
wanatupenda wenyewe
oh, nyie mabwege
acheni kupiga kelele
wenyewe wameshoboka, kwa vyao viherehere
[outro]
chengerema
chengerema
chengerema
chengerema
mpango mzima
na chengerema
chengerema
chengerema
chengerema
mpango mzima
na chengerema
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu køber, mc magnus & mikke - 9 liv
- lirik lagu the lettermen - walk hand in hand
- lirik lagu chasing avalanche - explain the thoughts
- lirik lagu haris alexiou - δωσ' μου μια μέρα (dos' mou mia mera)
- lirik lagu songer - toxic (freestyle)
- lirik lagu deathchant - mother mary
- lirik lagu דני סנדרסון - oley lela - אולי ללה - danny sanderson
- lirik lagu abdoulupnext - yuno miles diss track
- lirik lagu isadora eden - mirror
- lirik lagu allkill1t - superstar