lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu dulla makabila - ujaulamba

Loading...

we don kiw~ngo
iih, ooh
iiih, ooh
mara k~mi uone nakubania, bora lawama
ndugu kuliko fedheha, tunapoelekea watu ndo wameenea
kama hujatupia wanakuch0m~lea, ona nilivyotupia j~po sina mavumba
ila hivyo ulivyo we, wanakuona mshamba
aah, siwezi kwenda na wewe, sababu hujaulamba

yaani we bora utulie nyumbani, mwanangu hujaulamba
aah, micheni wa dogo ngote, mwanangu hujaulamba
jamani we bora utulie nyumbani, mwanangu hujaulamba
dulla nimetoka mbali, mpaka namiliki gari
lawama zako mimi sijali, kaulambe kama unataka safari

makabila nimetoka mbali, mpaka namiliki gari
lawama zako chembe sijali, kaulambe kama unataka safari
aah siwezi kwenda kokote, sababu hujaulamba
jamani we bora utulie nyumbani, sababu hujaulamba
hebu mtazame mkubwa fella, we jinsi alivyoulamba

hebu kamtazame babu tale, jinsi alivyoulamba
hebu kamtazame najimeka, jinsi alivyoulamba
hebu kamchungulie na timba, anavyoulamba
hebu kamtazame na manzi, anavyoulamba

mwanangu bora utulie nyumbani, sababu hujaulamba
machebe cheza singeli, we singeli
na baloteli singeli, we singeli
we na razack singeli, we singeli

eh mamy singeli mama, we singeli tena, we singeli baba
we singeli, juma dabo piga ngoma, weka goma
mark sunge piga ngoma, weka goma
mtu peace piga ngoma, weka goma

steady piga ngoma, weka goma
itoshe, (ina utamu mama, ina utamu) ndo hio
(ina utamu bwana, ina utamu)
wanangu cheza singeli, nyonga kibaiskeli
dj. temba singeli, cheza kibaiskeli
dj. temba singeli

nabii, maulana (weka)
anaitwa don’t touch (we babiloo we) twende tena
muoneni bwana ~n~lia (muoneni ~n~lia)
haya mwanetu ~n~lia (mwanetu ~n~lia)
jamani mwanetu ~n~lia (iih, ~n~lia)
muoneni ametununia (jamani ~n~lia)

jamani ametu, eeh anaitwa mp the don (wewe)
mtoto wa kawe, anaitwa big boss (twende baba)
weka utamu utamu, mamama cheza singeli, we singeli
na mudy ngeli singeli, we singeli
dj. amka singeli, we singeli
aah hk singeli, we singeli
na majoka piga ngoma, weka ngoma

we dada na bia zangu umekunywa, kwanza bia zangu umekunywa
chakula umekula, bia zangu umekunywa, nauli umechukua mama
bia zangu umekunywa, chakula umekula
bia zangu umekunywa, nauli!

nauliza utatoa hutoi, utatoa hutoi, we mtoto utatoa hutoi?
utatoa hutoi?, nijibu utatoa hutoi?,
aah utatoa hutoi?, na chichi utatoa hutoi?
aah unatoa hutoi?, natasha utatoa hutoi?

ah unatoa hutoi?, mama jenga unatoa hutoi?
unatoa hutoi?, we mamy cheza singeli, nyonga kibaiskeli
na dulla twende singeli, bwana kibaskeli
shamizy t singeli, nyonga kibaskeli

bado tena sijaona, anaitwa mama don, weka utamu utamu
we mama lamimu, wape utamu
anaitwa dj. don’t touch, aah jonashi

piga baba, twende tena
nimetembea tembea nimeikuta hadithi, (hadithia)
nimetembea tembea nimeikuta hadithi, (hadithia)
aah, nimetembea tembea nimeikuta hadithi, (hadithia)

temba, nimetembea tembea nimeikuta hadithi mie, (hadithia)
hadithia eeh mama (hadithia)
hadithia ooh baba (hadithia)
jamani mkulima kaomba mvua, mfanyakazi kaomba jua
mama simama eeh, (uzazi usingeujua)

jamani mkulima kaomba mvua, mfanyakazi kaomba jua
mama simama eeh, (uzazi usingeujua)
jamani mkulima kaomba mvua, mfanyakazi kaomba jua
mama simama eeh, (uzazi usingeujua)

basi cheza singeli, nyonga kibaiskeli mama
we singeli, kibaiskeli na mkubwa fella singeli, kibaiskeli
watoto wa cheka na mkubwa na wanawe, wape utamu
anaitwa boss tale, twende tena misound wape utamu utamu

anaitwa machebe
twende tena
suma dangote, cheza singeli, nyonga kibaiskeli
na d mautamu singeli, aah kibaiskeli
respect mwanangu the don


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...