
lirik lagu drozoh - maboiz na me
[intro]
maboiz na me
hawa maboiz na me
maboiz na mimi
maboiz wa me
[verse]
mwende nakudai dai doo
na nakudai pia
una njygi vulai
na we hupendanga mandai pia
ndo kudo__donjo
dunda na machaji
na ka kofia ni ya white
hii__ hii tshirt ni ya white pia
dj cheza doba noma back to back
raise yo glasses
shake yo asses
anguka nayo kana lavie
ako na gifango
akikosa
mapanga__mapangale
[hook]
leo nlipitia rooftop
kwa opiyo
ni mali unataka
we,,,,,,
we(×2)
we kamu
[chorus]
niko na maboiz na me
hawa maboiz na me
maboiz na mimi
maboiz wa me
(vile inafaa kua)
maboiz na me
(vile ina
vile inafaa kua)
hawa maboiz wa me
maboiz na mimi
maboiz wa me
(me na maboiz kando yangu
vile inafaa kua)
[verse 2]
maisha inanibamba si siri
vile nawateka na kabambe si siri
ndo mjue
kukanyagia si kuzima
sku izi tunatembea na simba za masai mara
sema f~ck police
f~ck police
nasema f~ck police
f~ck police
hii ni genz
na mujacheki sh~t bado
mnanunuliwa mnaisha ka bundle za safom
juu ya kkosa
gifango (×2)
na si tuko na gifango
gifango
tushajua
io ndo kitu inawawasha
noma ni
nikipuff ntapass
na nikipass
napassia hawa
[chorus]
maboiz na me
hawa maboiz wa me
maboiz na mimi
maboiz wa me
maboiz wa me
(vile inafaa kua)
maboiz na me
(vile ina
vile inafaa kua)
hawa maboiz wa me
maboiz na mimi
maboiz wa me
(me na maboiz kando yangu
vile inafaa kua)
[verse 3]
kuparara kama nganya za kiambu
tho you can never push me down
mi ni ka bamboo
nilienda nkiskizia kiss kwa mat
si nko na kismat
mapema very fast
juu
ndifu anataka bmw
anataka bmw
baby kam nikupeleke dinner
nikubless na dinner
juu hii team
ni ya kufinish
k~malo(×3)
k~malo
team ni ya kufinish
k~malo(×3)
k~malo tukiwa na
[chorus]
maboiz na me
hawa maboiz na me
maboiz na mimi
maboiz wa me
[outro]
ukinisaka social media hunipati
jua niko graooooo
sifati kiki
mi hufata ganji
wananiita king wa kanairo,,,,,
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu inang laya - atsay ng mundo
- lirik lagu z3iquann - red/pourup
- lirik lagu lil king - clouds & thunderstorms
- lirik lagu jean-louis murat - vénus
- lirik lagu shallipopi - eazy
- lirik lagu the steeles - on the king's shoulders
- lirik lagu emuhes - muse
- lirik lagu die17 - a salvarte hoy
- lirik lagu killah - жить (live)
- lirik lagu zenani - so what