lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu drama boi - dansa

Loading...

girl njo hapa kwa simba loketo (densa)
nikupandishe ndege ya kwenda soweto (densa)
siunataka kwenda kupunga upepo (densa)

maisha yamekuwa tight vumilia mateso

densa bend down
usiogope cheza
huku ukinesa nesa
usiogope cheza

densa bend down
usiogope cheza
huku ukinesa nesa
usiogope cheza

every morning
i’ll give you some ting
ukilamba cone
my colony enhe

every morning
i’ll give you some ting
ukilamba cone
huku moyoni nakuwa high

we my baby
we my baby usiwe malaya
maya mayango, haya maisha ndo namake eh

hey my lady
siunataka kwenda ulaya
we nikonge roho we nikonge roho kipenzi eh

girl njo hapa kwa simba loketo (densa)
nikupandishe ndege ya kwenda soweto (densa)
siunataka kwenda kupunga upepo (densa)
maisha yamekuwa tight vumilia mateso

densa bend down
usiogope cheza
huku ukinesa nesa
usiogope cheza

densa bend down
usiogope cheza
huku ukinesa nesa
usiogope cheza

mi ndo mnyozi nikupige kipara (mh mh mmh)
nikupige solo kama diblo debala (mh mh mmh)
kama ukijaniacha utanipa msala (mh mh mmh)
nipe vyote tu kabla sijalala (mh mh mmh)

we my baby
we my baby usiwe malaya
maya mayangoo haya maisha ndo namake eh

hey my lady
siunataka kwenda ulaya
we nikonge roho we nikonge roho kipenzi eh

girl njo hapa kwa simba loketo (densa)
nikupandishe ndege ya kwenda soweto (densa)
siunataka kwenda kupunga upepo (densa)
maisha yamekuwa tight vumilia mateso

densa bend down
usiogope cheza
huku ukinesa nesa
usiogope cheza

densa bend down
usiogope cheza
huku ukinesa nesa
usiogope cheza


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...