lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu drama boi - bongo

Loading...

mjomba bongo ni nyoso weh eh
ngoja tukahakikishe

huko hakuna michosho weh
twende tukawajibike eh

mie mie mie
nitakwenda kivyangu
j~po ni pekeyangu
staki watu majungu (mie)

binadamu ni cheche (cheche)
acha niteme mate (mate)
staki shida inirudie (iye)
naomba jah anitetee (tetee)
mama alisema

sikia sikia
mwanangu sikia
hii dunia dunia
nakupa huu husia

kama usipo jifundisha
ulimwengu utakuonyesha
i’m praying for you don’t mess up
get ready now not later

mjomba bongo ni nyoso weh eh
ngoja tukahakikishe

huko hakuna michosho weh
twende tukawajibike eh

kila nikiamka asubuhi niko race (niko race)
me i hustle every day more money i’ll go make (i’ll make)

huko napo ni patamu kama nikipata bingo
j~po wengi wanaozea huko segerea kekoo

sikia sikia
mwanangu sikia
hii dunia dunia
nakupa huu husia

kama usipo jifundisha
ulimwengu utakuonyesha
i’m praying for you don’t mess up
get ready now not later

mjomba bongo ni nyoso weh eh
ngoja tukahakikishe (tukahakikishe eh tukahakikishe)

huko hakuna michosho weh
twende tukawajibike eh (oh nana oh nana oh nana)

mjomba bongo ni nyoso weh eh
ngoja tukahakikishe

huko hakuna michosho weh (michosho michosho eeh michosho)
twende tukawajibike eh (twende tukawajibike oh ooh owyeh)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...