lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu dr xolly(bwana harusi) - nafuu

Loading...

intro :

shusha hiyo pumzi na milio (mel!cksoundmbaba) ohh babe na miliooo
i do something for you sio mavideo
(yeyeeeeh yeeeeyeeeeh yeeeeeeeeh)
halafu babe sio maviliooooo
noouuuuhhh yeyeeeeeh yeyehhh yeh yeeh yeeeh

bwanaharusiiiiiiiiiiiiiiiii

verse 1 :

kuna siku unaniona kama cartoon..
siku nyingine heshima duni..
penzi kabisa ndo ni kapuni…
haina maana yeeeeeh..
au kama vile siku tu ya jana..
ni vile tu mwenzako sipendi ma~drama..
mara tuna~bullsh~t ma~some bullsh~t mwisho kupiganaaa..

bridge :

na mapenzi ni~renew (yaayah yaayaaah)
yawe ya juu (yooyoh yoyoyoooh)
nipate nafuu (ouwowooohhhh)
ndo nafsi ina~loose (ouwoooh wowoooooh)
na mapenzi ni~renew (yaayah yaayaaah)
yawe ya juu (yooyoh yoyoyoooh)
nipate nafuu (ouwowooohhhh)
ndo nafsi ina~loose (ouwoooh wowoooooh)
i say..

chorus :

unaniuma moyo yeeh (unaniuma moyo wote)
unaniuma moyo yeeh (unaniuma moyo wote)
unaniuma moyo yeeh (unaniuma moyo wote)
unaniuma moyo yeeh (unaniuma moyo yeyeeh)

verse 2 :

you the freshie girl babe you my only one in millions girl..(yeeh)
the way you move, something you do, unaniongoza kipofu njiani…(yeeh)
na sina mashaka
kwa ninachokitaka..
muda wowotе nikihitaji napata..
navuka mipaka mpaka nawaza..
nikudekeee au ndo kufanana na weee..
shusha hiyo pumzi na milio enhee ohh babe na milio..
i do something for you sio mavidеo onhooo halafu babe sio mavilio
so wait…..(i don’t know, i don’t know, i don’t know, i don’t know)
bridge :

na mapenzi ni~renew (yaayah yaayaaah)
yawe ya juu (yooyoh yoyoyoooh)
nipate nafuu (ouwowooohhhh)
ndo nafsi ina~loose (ouwoooh wowoooooh)

na mapenzi ni~renew (yaayah yaayaaah)
yawe ya juu (yooyoh yoyoyoooh)
nipate nafuu (ouwowooohhhh)
ndo nafsi ina~loose (ouwoooh wowoooooh)
i say..

chorus :

unaniuma moyo yeeh (unaniuma moyo wote)
unaniuma moyo yeeh (unaniuma moyo wote)
unaniuma moyo yeeh (unaniuma moyo wote)
unaniuma moyo yeeh (unaniuma moyo yeyeeh)

outro :

unaniuma moyo yeyeeh (perfect)

sounds mbaba


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...